Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

Mbona mnaendeshwa kwa mihemuko lakin watanzania
Barrick na Serikali ndio wamekubaliana kulipa hzo USD 300M
Accacia hakuwepo kwenye mazungumzo toka siku ya kwanza so in principle hawez kukubali kulipa kitu mbacho hakuhusishwa nacho
As long as Barrick ndio mwenye Majority Shares yeye ndio atajua wapi pa kupata hzo pesa since yeye ndio aliingia hayo makubaliano.
Hujaelewa,
AGHASIA anasubiri report atoe hela,
Hela haitolewi na EliBARIKI
 
Kuna kitu!!Nadhani taifa kwa sasa lina tatizo!!! Iweje habari ambayo inaonyesha serekali kushindwa inakuwa na wafuasi wengi kuliko waohuzunika? Ina maana walioko kwenye mitandao ya kijamii sio watanzania?Turudi nyuma tujisahihishe kuna mahali tumeteleza na huko tuendako naona watu kuja kuanza kushangilia visivyoshangiliwa.
Tuanzie kwenye hilo la uchunguzi kukwama kwasababu dereva yuko Nairobi
 
Mbwa atakung'ata ukiwa na mwenye mbwa? Huyo mbwa ni kichaa! Halafu nilitegemea kauli hii iwaume wazungu vipi nyinyi inauma sana mna nini?
Jibu swali, nani anajukumu la kung'ata kati ya mbwa na mwenye mbwa
 
Acacia ndo Barrick huyo huyo mkuu
no no no accacia ni akinA mwapachu, mwanyika. Akina lowasa, rostam Aziz mafisadi wa chadema ambao wengi wanatoka kaskazini akina Lisu Na akina zito kabwe and company wakati barrick inamilikiwa na watu wasiojua ufisadi ni Nini yaani barrick inamilikiwa na genuine innocent tofauti na accacia iliyojaa vibaka.Mtu kama una share accacia uza haraka sana
 
Umekaririshwa ww unafikiri hata IPO wangesema IPO??? Kuna taratibu za kutoa pesa na lazima zipitie kwenye Idara husika siyo haraka hiyo. Nyie kila kitu mnapinga tu. DW ni redio ya kutangaza habari zozote ziwe za uzushi au ukweli wao wanahitaji biashara tu na waandishi Tabia zao ni zilezile kuandika Vila analysis kama Wa hapa bongo.
Bila kujipa moyo unaweza kufa kabla ya wakati, unafanya vizuri!
 
Labda nikuulize kidogo kama hao wanasheria wa barrick na huyo kabudi ndio unawaamini sana vipi kuhusu Chenge, Werema na Mwanyika ambao ndio waliosani mikataba ya kishenzi na hao wanasheria wa Barrick hadi kutufikisha hapa tulipo je hawakuwa na akili?
Nimekwambia hivi wewe unajua kuliko hao niliowataja. Ungekuwa as smart as u think ungejua kuwa hatujafika hapa kwasababu hao uliowataja ni vilaza bali kwasababu ya ubinafsi wao tu. Walikuwa wanajua nini wanakifanya.

Wewe unafikiri hio mikataba mibovu waliingia kwasababu ni vilaza? Pole sana wana akili sana hao watu ila ubinafsi ndio uliwafanya wasaini hio mikataba.
 
''We have been a donor country indirectly '' we need their recognition and appreciation, and if they need mo relation we have opted a symbiotic relation rather than the current facultative parasitic relationship
 
Bruv, unaweza kunielezea ati namna gani imefanyika mpaka ile ‘good faith’ amaount ikapatikana? Nimeuliza hili swali mpaka sasa sijapata majibu! Sasa nasikia ripoti za Osoro na Mruma hazikutumika kwenye kufikia maamuzi, sasa kwanini tulitumia pesa zote zile kuwa na hizo tume?

Yaani kutoka USD 190B hadi USD 300M, imekokotolewaje hii?

Swali zuri. Kwa nini US$ 300 million? Na si US$ 200 million, US$ 100 million, US$ 500 million, US$ 50 million etc.? Vimetumika vigezo gani kupata 'good faith' ya US$ 300 million?
 
Dadeki,hata hiyo ya kushikana mikono hamna tena. Hawa jamaa wanajua wanachokifanya, tukizingua tu tutapigwa hela ndefu balaa
 
Mbona mnaendeshwa kwa mihemuko lakin watanzania
Barrick na Serikali ndio wamekubaliana kulipa hzo USD 300M
Accacia hakuwepo kwenye mazungumzo toka siku ya kwanza so in principle hawez kukubali kulipa kitu mbacho hakuhusishwa nacho
As long as Barrick ndio mwenye Majority Shares yeye ndio atajua wapi pa kupata hzo pesa since yeye ndio aliingia hayo makubaliano.
Exactly!
 
Uzalendo kwanza!jamani kuibiwa tumeibiwa na bado tunapigwa mkwara! Ebu Acacia tupeni chenchi zetu bana acheni siasa.
 
Mbona mnaendeshwa kwa mihemuko lakin watanzania
Barrick na Serikali ndio wamekubaliana kulipa hzo USD 300M
Accacia hakuwepo kwenye mazungumzo toka siku ya kwanza so in principle hawez kukubali kulipa kitu mbacho hakuhusishwa nacho
As long as Barrick ndio mwenye Majority Shares yeye ndio atajua wapi pa kupata hzo pesa since yeye ndio aliingia hayo makubaliano.
Mbona tulikuwa tunaambiwa kuna mazungumzo yanafanyika na Acacia?
 
Back
Top Bottom