Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.
Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.
Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.
Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.
Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.
Mkuu,yule jamaa amefanikiwa kusolve ishu yake,,ina mzunguko mrefu ila kafanikiwa.
Wadau na mimi niulize je kwa mtu ambaye ameajiriwa na shirika la serikali na akafanya kazi kwa muda wa miezi 3 na kabla hajaajiliwa alikuwa ameshatuma maombi ktk shirika lingine la serikali hivyo wakati anaendelea na kazi ktk shirika ilo akaitwa kwenye interview ya shirika lingine la serikali na akafaulu...je kwa mtu huyu anauwezekano wa kuama kutoka shirika moja la serikali kwenda lingine bila usumbufu kwenye inshu ya check number na mambo mengine ya ajira..
Rudi tu kufundisha,hautaajirika tena govt..kama ulikopa ujisomeshe mshahara unasoma vibaya vumilia tu...Ndio matunda yakutofata taratibu.
wanaipata wapi hiyo check number na vipi ukibadilisha jina moja.
Mdau naona hapa umebase kwa aliyeondoka Serikalini na kurudi kwenye sekta ileile. Vipi aliyebadili sekta? Mfano uliondoka bila taarifa kama mwalimu unarudi Serikalini kama polisi.1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA. b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na afisa utumishi mie mtoro kazini. 2. Sina taarifa yoyote ya kuachishwa kazi na mwajiri na zaidi ya hapo documents kwenye files zimenyofolewa na kutupwa.
Waraka wa 2010 unasema,mfanyakazi akishaajiliwa hawezi ajiliwa tena popote serikalini labda jeshini uko au baadhi ya agency...Utaamishiwa data zako kutika tahasisi moja kwenda nyingine na hazina km ulipata barua ya afisa utumishi wakati unaondoka...bila ya ivyo mkafanye private tu to the rest of ya life
okey sawa mkuu, nimekusomatiyari nshakuja huku biharamulo na tsd wameagiza nirudi payrole then nasubiri afsa utumishi afanye kazi yake then nipewe datasheet kwenda shirika la elimu kibaha.
Namimi naomba kuuliza,binafsi sikupata barua yoyote ya ruhusu kwenda kusoma wala utoro ila nipigwa chini kwenye mshahara nilipofuatilia nikaambiwa ni mtoro kazini,vipi unavyoona hilo naweza kabiriana nalo vipi ili nirejee kituoni kwangu? Tafadhali msaada wako!
nlimweka sawa afisa utumishi akanirudisha
Jaman pia mimi niliajiliwa baadae nikaomba ruhusa naenda kusoma mambo ya elimu lakini baadae nikabadili si kwenda huko kwenye kitu nilichoombea ruhusa nikaenda kusoma sheria sasa nimeomba kazi sehemu nyingine tofauti. Ila naambiwa suala la mshahara litakuwa kero najiuliza nimepoteza mda wangu naombeni ushauri juu ya hili na kurudi kufundisha siwezi maana mshahara ndo umenisomesha. Niko njia panda sijui nifanyeje msaada wenu wadau!!!!!!
Wakuu nina mdogo wangu alikua ameajiriwa kufundisha lkn kama familia tukampeleka kusoma masters ya kitu kingine CANADA na tulicheza hadi akapata ruhusa kutoka kwa mkurugenzi na afisa utumishi akamwandikia barua vipi yeye yupo salama au magumashi akirudi?
teh teh teh teh
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mmiliki wa kampuni uliyesema ualimu ni laana Leo unauliza utarudije kituoni????????
Hivi kama hata wewe hujitambui utawezaje kufanya wengine wajitambue???
you are too low!!!
Wee kiumbe vp kule Lumumba wamekuchoka,mbona unajikanyagakanyaga? Mambo mengine ni INTERNAL COTROL,Jiheshimu japo kidogo utaficha upumba.vu!
Nijiheshimu kwa kukuumbua?
Wewe ulisema huwezi kuwa mwalimu vipi Leo?
Mnashinda jf kutukana serikali inayowaweka mjini
Hopeless kabisa!!!!
Nashukuru kwa kuniona hopeless! Hongera kwa kuwa hope!