Mimi nafikiri ukamsaidia kupata ufahamu kidogo kwenye mada yake kwani baada ya kushiba matonge makubwa ndio nafasi ya sex inachukuwa wakati wake vinginevyo shibe isiyotumika ni sawa na hakunaKatafute tonge mzee, round hazikusaidii na lolote
Niweke sawa hapa.kama bao moja unaenda hadi zaidi ya dkk 15,, inatosha pumzika na uendelee na ratiba nyingine,,
kama bao moja umelipata chini ya dkk 8,, my brother ni bora ukarudia tena,,
hii ni kwa afya ya ndoa au mahusiano yako,,