Kurudi nyumbani mapema

Mimi wangu kishazoea ,mimi riziki yangu iko miguuni kama mbwa.Siwezi kurudi nyumbani mapema .Nikifikisha miaka 40 ntaanza kuwahi.
 
Mkuu usher,

Nimeshangaa sana wewe kuuliza swali hili na upo kwa ndoa.

ishara ya mke kufatilia ni upendo mkubwa sana kuonyesha kujali na kuthamini uwepo wako.

Kama ambavyo una enjoy kuwa bar kuongea na watu, kunywa pombe na unaondoa upweke, ndivyo hivyo kwake unaporudi mapema na kuongea nae.

Kwani wewe humpendi mkeo?
 
ukijua ladha ya mwili na roho ya mwenzi wako huwez kuchelewa nyumbani ata sekunde moja unless hujaijua bado 🐒
 
Cha kufanya mwanaume kama unaanza mahusiano na mtu basi Hakikisha humfichi tabia zako kama ni mtu wa kunywa na kuchelewa basi akujue mapema
Ukisha muoa hawi tena girlfriend, anakuwa mke na haki zote za kuhoji ulikokuwa na sababu za kuchelewa kurudi na hata kukutaka urudi kabla ya saa mbili.
 
Kukaa na mwanamke kazi sana bn mi ndo maana nimeamua nitulie zangu kibingwa.....nikihitaji natuma nauli tunachill wiki then anapanda kidia au BM uelekeo nyumban
😅😳🙄
Hasa hayo maisha mpk lini?
Familia muhim sn mwisho wa siku,shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…