Kurudi mara ya pili kwa Yesu Kristo kutakuwaje? Je, ataishia mawinguni au atafika Duniani na kila jicho litamuona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,107
Naangalizia nyakati za Unyakuo wa Kanisa, ndiposa nauliza.

Yesu Kristo arudipo mara ya pili ataishia Mawinguni au atafika Duniani na Kila jicho litamuona?

Ahsanteni kwa mtakaonijibu!
 
Naangalizia nyakati za Unyakuo wa Kanisa, ndiposa nauliza.

Yesu Kristo arudipo mara ya pili ataishia Mawinguni au atafika Duniani na Kila jicho litamuona?

Ahsanteni kwa mtakaonijibu!
Ujio tunaoungojea sasa hatakanyaga ardhi ya dunia! Atanyakua waliotayari wake na kukutana mawinguni na watakaobaki wataupigania wokovu chini ya mpinga Kristo kwasababu kipindi cha neema ya wokovu wa bure kimepita! Umkane Kristo upate raha miaka 1,000 au umpinge Kristo upate dhiki kuu miaka 1,000.
Angalizo: upako wa kumwezesha mlokole kupaa utakuwa ndani ya mlokole mwenyewe kutokana na kujishughulisha na kazi za kifalme! Wako walokole watajaribu kupaa watashindwa! Jifunze kuomba muda mrefu mtu wa Mungu
 
Back
Top Bottom