Kurudi kwa wamachinga: Mgambo wanakula rushwa balaa

Chadema ni mazuzu, malofa ,hayajitambui yanataka nini kwenye maisha.
Mimi mmeniacha kidogo ,Hoja ni "Machinga na rushwa ya Migambo ili kuwarejesha wafanya biashara wadogo (machinga) kwenye maeneo yasiyo ruhusiwa kisheria.

Sasa Chadema imeingiaje hapo???

Japo mimi sio mwanasiasa lakini hapa naona Kama hoja imeharibiwa na mleta hoja.
 
Nimeshangaa sana Leo nimepita maeneo ya Baridi posta nimekuta wameanza kupanga tena vitu, cbe wameanza kurudi tena. Mwenge na Ubungo the same!

Amos Makala anatakiwa kujua kuwa sifa alizopata si chochote endapo hatasimamia vizuri maelekezo anayotoa
 
barabara sio kibanda cha kuuzia nyanya bwashee.
 
Kwani lazima utaje chadema kwenye kila uzi, hao mgambo si ni wana ccm na wamwajiriwa na serikali ya ccm
 
Nimeshangaa sana Leo nimepita maeneo ya Baridi posta nimekuta wameanza kupanga tena vitu, cbe wameanza kurudi tena. Mwenge na Ubungo the same!

Amos Makala anatakiwa kujua kuwa sifa alizopata si chochote endapo hatasimamia vizuri maelekezo anayotoa
Ujinga ni kuamini kuwa huyo sakala aliwapangia maeneo hao machinga wakakataa. Nenda ofisini kwake mwambie akuoneshe japo picha ya hayo maeneo aliyowapingia hao machinga kama atakuonesha. Hayo maelekezo yake uchwara ni upuuzi mtupu. Sana sana ataishia kukimbizana na wamachinga pale nje ya ifm, ili ile canteen ya mwanamke wake ipate wateja (Yaani wanafunzi wasiende kula nje).
 
Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…