Kurudi JWTZ

Ulitarajia nini au ulipanga nini baada ya kumaliza chuo? hizo ni tamaa tu za kutaka kwenda chuo wakati magraduate tupo wengi mtaan tena tuna degree km uliyosomea wanasaka kazi tena km hiyo uliyoacha bila mafanikio, kama vipi jiajiri tu jeshin sahau
 
Sikuandika barua ndugu.

Nakushauri rudi kikosini natumai bado unahitajika.
Uliondoka kikosini bila ruhusa kwa hiyo wewe ni mtoro kazini.
Na je ulipata/andikiwa barua yeyote kutoka makao ambayo inakutaka urudi kazini?
 
Nakushauri rudi kikosini natumai bado unahitajika.
Uliondoka kikosini bila ruhusa kwa hiyo wewe ni mtoro kazini.
Na je ulipata/andikiwa barua yeyote kutoka makao ambayo inakutaka urudi kazini?

Usimdanganye mwenzio utoro wa jeshi una muda wake,sasa hivi watakua wameshamfuta ktk orodha ya wanajeshi.
Hata akianza upya watakuja kumchomoa tu mbele ya safari.
 
c.26 ( AWOL) c.64 (KUARIBU MURUA NA TARATIBU ZA JESHI) PAMOJA NA KULIUNI JESHI VINAKUHUSU. KARIBU UFUNGWE MIAKA 2, NA KUKUDISMIS WITH DISGRACE.
 
Naomba kesho uje makao makuu ya jeshi. Ukifika uliza mtu anayeitwa Chacha-chacha wako wengi but ntakuwa nimeacha maelekezo. Jitahidi kuja maana nilishapata taarifa zako na ntakusaidia. Zaidi niPM
 
Mashtaka atakutana nayo kikosini

Acha kukariri Jombaa,unafikiri jeshini kama kuuza duka la muhindi?
Huyo hana chake jeshini,HEBU fikiria kama askari wote wangefanya kama alivyofanya yeye ingekuaje?
 
endelea na plan B ndugu,ila mfuko wako kama uko vizur wanaweza kukusaidia
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi, kwa nini hukua n subira muda wako ungefika ungeenda chuo tu ulikurupuka, pole sana
 
Mdogo wangu kama unataka kwenda jela rudi jeshini kama hutaki tafuta kazi nyingine
 
Certificate yako uliyoipata ulipohitimu mafunzo ya jeshi na Elimu uliyonayo unaweza kupata kazi nzuri idara ya ulinzi ktk migodi na ukipata cheo cha supervision wanalipwa vizuri sana pia ni rahc kupata kazi hata kwa migodi ya nje.Usiangalie upande mmoja tu kinachotakiwa ni maisha bora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom