Mkuu kwenye mayai utaumia zaidi.Suala la kutotolesha mayai,ambayo hujui yana muda gani toka yatotolewe ni sawa na mchezo wa karata tatu.
Cha msingi mwambie huyo mganda akuletee hao vifaranga na umlipe baada ya kuvishika mkononi,kumbuka serikali inapiga kelele uingizaji wa Kuku na mayai toka nje.Hata kama kuna utaratibu wa kuingiza kwa vibali,ila utasumbuka sana hadi kukamilisha utaratibu, mwache mganda akuletee mwenyewe.