CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
habari zenyu bhana. wana jamvi me kuna jambo huwa linanikera (samahan kama kuna mtu nitamkwaza) kuna ile kasumba ya kurithi jina. mf. et bibi yangu aliitwa tabu/shida then nami nikipata mtoto nimuite shida/tabu yan hili haliniingii akilini ukizingatia jina linaweza kuleta uhalisia wa maisha ya mtu. mara babu aliitwa masumbuko/matatizo afu nkipata mtoto wa kiume nimuite majina hayo. dah inawia vigumu kweli. sijui ninyi wanajamvi huwa mnalichukuliaje?? karibuni. . . .
haya majina maawil mi hoiKurithi majina kama: Shida, Tabu, Masumbuko, Havijawa, Havinitishi, Chausiku n.k. Si utaratibu mzuri ktk jamii zetu. Binafsi hata mie sipendi kurithisha watoto majina ya ajabu ajabu kama haya.
Kurithi majina kama: Shida, Tabu, Masumbuko, Havijawa, Havinitishi, Chausiku n.k. Si utaratibu mzuri ktk jamii zetu. Binafsi hata mie sipendi kurithisha watoto majina ya ajabu ajabu kama haya.
Kumbe kuna ambao kama mimi,afazaliii.....nilijua niko peke yangu! Mie Tuli wangu kalazimika kupewa jina la doto wakati hana pacha hivi inakuaje????!!!huu utaratibu siuelewi na wala sioni umaana wake fyuuuuu
Kama unaona unalipa, ufuate, na kama unaona haulipi, usiufuate. Kwani ukizaa mtoto mwenye jukumu la kumuita jina si ni wewe na mwandani wako?
The unseen is illustrated by the seen.