B.4really
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 199
- 89
Habarini za asubuhi wanajf,
samahani sana wakuu naomba kwa anayejua tarehe ya kuripoti jkt kwa form six leaver wa mwaka 2015 wale wa kwa mujibu wa sheria anisaidie,
pia na post zao za vikosi maana nna wadogo zangu wamemaliza form six wananisumbua kweli kwa sababu website ya jkt inasumbua sana wakuu,natanguliza shukrani