KURIPOTI KITUONI

KURIPOTI KITUONI

tag

New Member
Joined
May 30, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Habari za muda huu,Kwa anayejua tarehe za kuripoti vituoni kwa walimu waliopangiwa vituo wiki hii anijulishe,nimejaribu kutafuta tangazo tamisemi sijaliona.
 
Wiki hii kuna watu wamepangiwa vituo wiki hii?
Hizo ajira walitangaza lini au ndo zile za walimu wa sayansi na hisabati zilizotolewa kipindi cha nyuma

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Back
Top Bottom