Kuripoti kazini

Kuripoti kazini

PANTA

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
47
Reaction score
5
Heshima kwenu wanajukwaa, awali wa yote natanguliza shukrani kwa Mwenyez Mungu na wanajukwaa kwa ushirikiano katika kipindi chote ya mihangaiko ya kutafuta kazi takriban mwaka 1 na miez 3 hatimae nmepata kazi katika moja ya halmashaur ya wilaya hapa Tz.

Ila niliripot nikajaza zile form za awali nkaambiwa niende nyumban mpaka pesa itoke nitapigiwa simu but mwezi umeisha kimya .

Naomba kuuliza wenye uzoefu na haya mambo nikawaida au uzembe wa wahusika wasiotaka kuendana kas ya Magufuli.
 
hata usijali hata mimi ilikuwa hivyo..hawawezi kukuita kama hawana pesa ya kujikimu ya kukupa na hawajakuingiza katika Lawson uweze kupata mshahara. kama inawezekana tafuta namba zao wapigie waulize uoate uhakika zaidi ya kinachoendelea. hongera kwa kupata kazi..karibu utumishi wa umma ila ni kugumu ni balaaa
 
hata usijali hata mimi ilikuwa hivyo..hawawezi kukuita kama hawana pesa ya kujikimu ya kukupa na hawajakuingiza katika Lawson uweze kupata mshahara. kama inawezekana tafuta namba zao wapigie waulize uoate uhakika zaidi ya kinachoendelea. hongera kwa kupata kazi..karibu utumishi wa umma ila ni kugumu ni balaaa

Nashukuru mkuu,hata kama kugumu tutakomaa kitaa kugumu zaid ase.
 
Nakushari siku ile waljpokukubali lakini wakasema mpaka hela ipatikane ungewaomba kufanya kazi kwa kujitolea. Kwetu sisi laweza kuwa jambo la ajabu lakini ni muhimu kwenye mustakabali wa kazi siku hizi. Ukiendelea kusubiri iko simu jkienda utaambiwa walkkutafuta hawakukupata hivyo wameajiri mwingine
 
mwaka 1 na miezi 3? una bahati? wenzio wanasugua bench bado tangu 2011
 
Mkuu hilo tatizo lipo kwa halmashauri nyingi ila kiukweli kabisa unatakiwa ukisha report ujaze form zao ili uwekwe kwenye LAWSON then uombe siku 14 za kujiandaa urudi kazini na mara nyingi halmashauri zinatoa pesa ya kujikimu ukiwa umerudi baada ya zile siku 14

Ushauri wangu jitahidi kuwasumbua coz wanaweza kuwa wamejisahau then hata details zako ikawa hazijawekwa kwenye LAWSON na kupataa cheque namba mwisho ukakosa pia mshahara pia kwani hata kama pesa ya kujikimu hawana mshahara unatoka hazina nilazima upate!

Mwisho unaweza anza kazi ikiwa unasubiri pesa zako za kujikimu maana mshahara utakua umepata kama utawasumbua wakupe cheque namba yako
 
Duh sasa kama wewe umepata bado mizinguo mara hawana pesa, je wengine ambao awajapata kazi wakiona si watazimia kabisa
 
Back
Top Bottom