Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

Kuna ukwl kabxa..wanawake wamezdisha maringo..utafkir hawaend haja..unamsalmia mtu abakunja sura kama anataka kuiweka kweny begi
loh jamani, et hawaendi haja, sasa ndio kusema tena haja zote lazma tuchuchumae?
 
hapa
Labda wanataka akija tu mwanaume binti anakubali
na, una namna unampa mtu nafasi kama yupo serious , si lazma kukubali kila mwanaume wengine wananuka kwapa ila jiangalie umri , mwanamke ukivuka miaka 24 soko lako linazidi kushuka, ukivuka 27 wewe potelea mbali maana miaka 18 mpaka 22 ndio watoto wa chuo IFM , RUCO, UDSM wanawaka balaa na wanataka mwanaume yeyote
 
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!

Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja, wanahug, wanakiss, wanacheza pamoja but responsibly coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.

1. Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa, ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa nyumbani’ Hapa binti anaanza kuwaona wavulana km viumbe hatari sn.

2. Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo anaringa balaa.

3. Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’ hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe anataka.

4. Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu 'Wewe vipi wenzio wote wameolewa, unasubiri nini’ hapa ndo kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss. Umenimisd my foot?

5. Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema 'Tumeshakuonya acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti anapanick, anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.

6. Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’ binti anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati wakati aliringa mwenyewe.

7. Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha makanisa lakini hafanikiwi.

8. Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo, unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni sawa tu.. usichague sana.. tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’k'

NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI KWA MAISHA YAKO
Ndoa ni baraka ya Mungu ukiikosa pia shukuru, huwezi hukumiwa kwa kilicho nje ya uwezo wako.
 
Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.

Msiwape watu presha kisa ndoa
Hivi single mama si ni yule aliezalishwa bila kuolewa? Maana alieachika huyo ni divorced...
 
Kuolewa ni dream ya kila mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume kupata pesa ila wakiwa nyuma ya keyboard wanaponda ila moyoni wanaugulia maumivu ya kutokuolewa na umri unaenda
 
Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.

Msiwape watu presha kisa ndoa
Umeona ndoa tu hapo kwenye hilo bandiko? Vip mahusiano yanayovunjika kabla ya ndoa?
Na ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu watu hawafati msingi na wajibu wao ndan ya ndoa pia wengi wanafunga ndoa na walio tayari kuwaoa/kuolewa nao na sio wanaowapenda
 
Back
Top Bottom