Kurekebishana: Lema badilika

Kurekebishana: Lema badilika

Lema as a person who bears the greatest responsibility and as a leader, one day he will be prosecuted as a person who either plans or orders crimes or knowingly condones such crimes or is a perpetrator. Or where criminal actions by his followers are isolated episodes, Lema will be responsible for failing to submit them to competent authorities for prosecutions. Its my stand that Lema is not a sane and sound leader. I'm sorry for Lema followers. I like Chadema, but my doubts rest on Lema.
 
Huyu bwe.ge anatoa ushauri wa kipumbavu sana,
hivi wakati huo mkutano unaendelea LEMA alikua mbunge au alikua wapi??
Ok fine kama utasema kutangaza utalii hakuhitaji kua mbunge,wewe kama mtanzania mzungu umeitangaza vipi??
Unajua majukumu ya LEMA ya kila siku au wewe ni dalali wa kinana muuza meno ya tembo??haya huyo riziwani lini umeshasikia yupo ulaya anautangaza utalii??
Toka umeondoka hapa bongo ni lini umeshasikia yule pouches mkuu anatangaza utalii nje ya nchi??
Acha ubweg.e wewe,sisiemu ndio wanao haribu hii nchi na ndio chanzo cha umasikni wa watanzania,
kiongozi gani wa chadema umeshasikia ameuza mbuga,au ardhi yenye rutuba kwa wachina??
Mikataba yote mibovu ni kiongozi gani wa chadema amesha wahi kusaini??
CHADEMA kuwaamsha wananchi mnaona kua ni jambo baya kwenu sio?na bado hata hile gesi ya mtwara haitoenda dar kama mnavyotaka.BWEGEE MTOZOZENI mleta mada,LEMA is our truly political leady kwa taarifa yako.
 
Kamundu, kulikuwa na ulazima wowote kujitambulisha unaishi nje? Imeongeza chochote kwenye uzito wa hoja yako?
Kweli mkuu, sijui kwa nini watu wanaoishi nje wanajiona wao wanajua sana, kwa nje ndio nini! Hata ukiishi malawi (maskini zaidi yetu) nako ni nje. Nje nje, ukute nje ya kubeba maboksi.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa kipumbavu!

hii ndo shida yawanacdm hamtaki kukosolewa na kupewa mawazo mapya.ushawishi alionao lema leo hii pale Arusha ni mkubwa mno kiasi kwamba pamoja na aproach yake ya kufanya siasa akichukua mawazo haya ya mwenzetu anaweza kuzidi kuiendeleza Arusha yetu na hatumaye tukawa na mkoa wenye maendeleo zaidi kwa maana ya miundombinu lakn pia hta mpangilio mji hasa issue ya machinga wakafanya biashara ktk mazingira salama kabisa.

CDM take this point from ths guy n submit to Mh Lema.thanks
 
Back
Top Bottom