Felix Aweda
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 504
- 143
Ahsante mkuu. Nipo Ngorongoro na HESLB wapo Dar ndo tatizo kufika Dar.Hiyo form huwezi kuedit isipokuwa mtu au mfanyakazi wa HELSB anayeshughulikia matatizo. Kwa wewe mwombaji baada ya kusevu system haiwezi kukuruhusu kufanya changes zozote na hiyo ni kwa sababu za kiusalama.
Chakufanya nenda HELSB watakutatulia tatizo hilo.
Sikia, HESLB kuna namba za simu. Jaribu kuwapigia.Ahsante mkuu. Nipo Ngorongoro na HESLB wapo Dar ndo tatizo kufika Dar.
Hawapokei halafu kwanza wanatumia TTCL. Kama kuna mtumwenye namba yao ya simu ya kmononi naombeniSikia, HESLB kuna namba za simu. Jaribu kuwapigia.
Ahsante mkuu. Nitaandika barua tu.Hiyo hujakosea Sana,haina effect Sana ila pia lazima ifanyiwe mabadiliko.
Kuna Jamaa aliwapigia wakamwambia kuwa kama endapo utakuwa umekosea sehemu basi andika barua na uambatanishe siku unatuma hayo mamombi yako ukionyesha haswa mahali ambapo kosa limefanyika. Kila kitu kitaenda vema.
Huwezi kufanya corrections zozote. Kila la kheri!
Kwa maelezo zaidi fatilia Uzi huu
HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017
Kila la kheri Mkuu. Wasalimie Ngorongoro!Ahsante mkuu. Nitaandika barua tu.
Mkuu suala la kalamu mwaka huu haikukaziwa mahali popote. Usitishwe na watu wa mwaka Jana.jamaa fomu yangu ya mkopo imejazwa kwa peni ya blue kipengele flani kweli kwamba italeta utata
HESLB pia wamefungua ofisi Arusha, kwenye jengo la NSSFAhsante mkuu. Nipo Ngorongoro na HESLB wapo Dar ndo tatizo kufika Dar.
Hii ni habari njema kwangu. Nilikuwa sijui.HESLB pia wamefungua ofisi Arusha, kwenye jengo la NSSF