Kurekebisha alama

Kurekebisha alama

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,706
Reaction score
6,941
Ndugu mwl naomba usaidie kurekebisha Alama hizi za somo
1. 45
2. 60
3. 70
4. 30
5. 89
kumbuka kuonesha njia.
Ahsanteni.
 
He! Hivi Lugha ya fumbua fumbo hili kumbe ingali-ipo???
 
anataka namna ya kustandadise alama


kwa mfano waliopata za juu washulke na walipata za chini wapande.. kama sikosei
 
Kuna kila dalili kuwa humu hakuna walimu. Kama wapo basi ni wale wa kurost.
 
Back
Top Bottom