Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

Belleringal

Member
May 25, 2020
83
155
Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
 
Man city tutampiga pampu mbili zenye presha ya kutosha...Pep atakimbilia kunywa pep siku hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…