Belleringal
Member
- May 25, 2020
- 83
- 155
Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?