Warumi naombeni kuuliza kama papa kashapata Bwana maana mamende kwa kutenga fungu ,nadhani posa zishamfikia tunasubir tamko la nan atamuoa anywewe pombe kali
Your welcome.... Ikiwa una swali lolote juu ya uislamu waweza uliza. Ikiwa unashaka juu ya fundisho lolote lenye ushahidi wa kimaandiko waweza hoji NASI tupo kusaidizana.
Dini ni mawazo ya wanadamu ya namna ya kumtafuta Mungu. Yesu hakuja kuhubiri mawazo ya wanadamu bali alihubiri wokovu na msamaha wa dhambi. Yesu hakuja kuanzisha dini bali alileta msamaha wa dhambi duniani. Hicho ndicho mimi ninachohubiri, wokovu na msamaha wa dhambi tulioletewa ba Bwana Yesu. Watu wanapaswa kuachana na dini na kuja kwa Yesu wapokee msamaha wa dhambi na wokovu bure.