Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,303
Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo sana lakini nayo mengi inaonekana ni ya watu waliopata kibali cha JPM kama Masanja Kadogosa, Makonda, Chongolo na Juma Homera. Zaidi sana hadi mtoto wa JPM atakuwa bungeni.
Mungu akupe nini tena Polepole? Japo umewapoteza majembe yako Mpina na Gwajima lakini umepata pia watu wapya wengi timu yako na timu nyingine pia imempoteza January. Bunge la 2025-2030 halitakuwa na tofauti na la 2020-2025 la chuma. #Kazi iendelee