Kura za SAUT kugawanywa

Kura za SAUT kugawanywa

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,551
Kwa taharifa nilizozipata ni kwamba CCM wana mpango wa kumuandaa Mhasibu wa Chuo cha SAUT ambaye amesoma kozi ya ADA hapohapo chuoni na kupatiwa ajira pia ili kupambana na Wenje ifikapo 2015 lengo likiwa ni kuzipunguza kura za vijana wa chuo kwenda kwa CDM

My take:
CDM litizameni hili mapema ili 2015 tuchukue tena hilo jimbo
 
Kma lengo ni hilo, basi wamefikia mwisho kbisa wa uwezo wa kuchora ramani za ushindi. It is fallacy kwamba wakimchukua huyo muhasibu basi watapata kura za wanachuo na je wanachuo wakisema tumnyime kura kwa vile ametusaliti? bado hiyo hoja ni baseless, it doesn't hold water!. Tena hyo mawazo yatakuwa yametoka kwa mzee wakulala. Kwa nini wasitafute kero moja kubwa hapo chuoni wakaitatua then wakija kuomba kura wataweza kueleweka?
 
Itategemea na nguvu za wenje zitakavyojijenga going forward, lakini Jimbo haliwezi kurudi CCM. I am watching Nyamagana with all my mighty.
 
matatizo ya kuwahusisha kwenye mikakati wakina lusinde na usingizi yanaiua ccm faster than we thought,.tambwe hiza is better the two above combined.
 
07/04/2012
FUND RAISING: Sahara grounds for shool desks in Nyamagana constituency Schools.

GUEST OF HONOR: Chief of Staff Prime ministers office(Kenya) with Fidel Odinga-Prime ministers' son.

Karibuni nyote for the sake of accountability for our Great Nation!!:rockon:
 
tena mhasibu?si wale wale kama atakuwa amekula boom la vijana si ndiyo balaaa tupu?
 
matatizo ya kuwahusisha kwenye mikakati wakina lusinde na usingizi yanaiua ccm faster than we thought,.tambwe hiza is better the two above combined.

CCM wamechoka, wanatafuta majibu ya maswali magumu kwa kutumia shortcut ambazo haziko sahihi.

Kama thinking yao inafanana na kile kilichoandikwa kwenye post ya kwanza then they are wrong, sidhani kama wapiga kura wanachagua kiongozi kwa kuangalia sura au kwamba ni kijana mwenzao au walisoma nae. Watu wanachagua kiongozi kwa kuangalia atawafanyia nini au msimamo wake ni nini kwenye issues mbali mbali.

TV siku hizi zinawaumbua sana wabunge wanaoshabikia pumba za msimamo wa chama na matokeo yake wapiga kura wanaona kila kitu. Bado hata ukimchagua nani aende huko ndani, hawezi kusimama na kukemea.

Mjadala wa Katiba ni mfano mzuri sana, tuna vijana wengi sana wa CCM humo Bungeni ambao wanaelewa umuhimu wa Katiba, lakini mswada wa kijinga ulipopelekwa huko, wote walikaa kimya kwa kuogopa rungu la chama. Wakabaki watoa mipasho na wafukaji wa pumba wakitokwa mapovu na kurusha vijembe kwa CHADEMA ambao walikuwa wamesusia mjadala. Hao hao wabunge wa CCM waliopitisha kwa mbwembwe mswaada huo, wakarudishiwa marekebisho ya sheria hata kabla haijatumika. Hayo yalikuwa ni matusi kwamba wao hushabikia hata mambo ambayo yanaikera jamii.

Sasa chama kama hicho hata ukisema uwaongezee vijana bado hakuna msaada wowote maana hawako independent kwenye kutoa maoni yao ambayo yanaweza kuwa suluhu ya matatizo ya wapiga kura wao.
 
Kwa taharifa nilizozipata ni kwamba CCM wana mpango wa kumuandaa Mhasibu wa Chuo cha SAUT ambaye amesoma kozi ya ADA hapohapo chuoni na kupatiwa ajira pia ili kupambana na Wenje ifikapo 2015 lengo likiwa ni kuzipunguza kura za vijana wa chuo kwenda kwa CDM

My take:
CDM litizameni hili mapema ili 2015 tuchukue tena hilo jimbo

wahasibu wa vyuo vingi huchukiwa na wanafunzi sijui kwa nini,
Unafahamu kuwa kamanda Baregu yupo hapo SAUT??
 
Kwa jinsi wanafunzi wa SAUT tulivyo na kichefuchefu na CCM hata waweke mhadhili watapigwa chini. Isitoshe wahasibu wa SAUT wanachukiwa sana hasa kitendo chao cha kukaa na cheque ya boom muda mrefu. Acha kujipigia kampeni mkuu, hakuna mhasibu ninayemfahamu hapo ana hata chembe ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Kama mantiki ni hiyo kwanini basi wasimusimamishe MWANACHUO moja kwa moja!
Akili nyingine bwana! ................................
 
CCM ilienda na Mwl Nyerere, limebaki kama dangulo ambamo wezi,wahuni ,vibaka,wauwaji etc wanajisitiri. Aje tu, wembe gileti upo ,tunageuza upande wa pili anakwanguliwa asubuh na mapema. Huyo jamaa namfahamu,anaitwa Moris Kazmir,alikuwa alikuwa kwnye kinyang'anyiro na akina Masha ndani ya CCM-2010. Namshauri ahame chama kwasababu ndani ya CCM hakuna wanaharakati,wazalendo,wenye hekima na busara ,.wenye nia ya dhati ya kuipigania Tanzania tuitakayo. Awaulize Mwakyembe,Mwandosya na Sitta wanavyo taabika.
 
Kama hiyo ndiyo stratergy ya ushindi ya CCM basi hiki chama kina hali ngumu kuliko wengi tunavyodhani
 
wewe utakuwa ni ndugu wa huyo mhasibu hivyo umekuja kupima upepo hapa.
 
Kwa jinsi wanafunzi wa SAUT tulivyo na kichefuchefu na CCM hata waweke mhadhili watapigwa chini. Isitoshe wahasibu wa SAUT wanachukiwa sana hasa kitendo chao cha kukaa na cheque ya boom muda mrefu. Acha kujipigia kampeni mkuu, hakuna mhasibu ninayemfahamu hapo ana hata chembe ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

kijana jibu hili hapo chini, yupo huyo mtu kumbe!!

CCM ilienda na Mwl Nyerere, limebaki kama dangulo ambamo wezi,wahuni ,vibaka,wauwaji etc wanajisitiri. Aje tu, wembe gileti upo ,tunageuza upande wa pili anakwanguliwa asubuh na mapema. Huyo jamaa namfahamu,anaitwa Moris Kazmir,alikuwa alikuwa kwnye kinyang'anyiro na akina Masha ndani ya CCM-2010. Namshauri ahame chama kwasababu ndani ya CCM hakuna wanaharakati,wazalendo,wenye hekima na busara ,.wenye nia ya dhati ya kuipigania Tanzania tuitakayo. Awaulize Mwakyembe,Mwandosya na Sitta wanavyo taabika.
 
...so what?? unataka CCM waweke weak candidate? Inabidi ieleweke kuwa yeyote agombeaye kupitia CCM kwanza ni 'coward' pili ni kundi lile lile la watu wale wale wenye tabia zile zile. Kwa hiyo haina haja ya kujishughulisha na mgombea wa CCM...unawaza ubunge wa 2015?
 
Strategy za ki Lusinde (Kipuuzi), ni Sawa na kule Karatu walimwandaa Dr. Wilbard S. Lori apambane na Dr. Wilbrod Slaa, lakini wakaangukia pua. Walipigwa chenga ya mwili.
 
Gamba ni gamba tu, hata awe kaka yangu hapati kura, sembuse accountant wa chuo.
 
hapo SAUT hata wanafunzi wote wakipigia CCM (kitu ambacho hakiwezekani) watapata kura ngapi?? Chuo wakimnyima Wenje mtaani wanamtaka sana tu!!
 
Back
Top Bottom