Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Kitu ni simple..watangaze matokea kamili ya kila jimbo. Watu wanatakiwa wawe na uwezo wa kujumlisha wenyewe! Mbona marekani watu walijua rais kabla hiyo tume yao haijatangaza? Ivi kuna majimbo mangapi Tanzania?
Mfano:
Kura za Wabunge:
Fisi Mfamaji - CCM = 13,000
Simba Dume - Chadema = 15,000
Mshindi CHADEMA
Kura za Urais:
Kikwete = 100
Slaa = 27,900
Mfano:
Kura za Wabunge:
Fisi Mfamaji - CCM = 13,000
Simba Dume - Chadema = 15,000
Mshindi CHADEMA
Kura za Urais:
Kikwete = 100
Slaa = 27,900