Kura za maoni: CCM Mil. 220. CHADEMA Mil. 6.2

Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

wamjuaje mnafiki!mara nyingi CHADEMA wakisema jambo mnakurupuka kuleta uwongo wenu hatutaki umbeya wenu leta ushahidi so blabla .hv maji matitu mganga wa ccmagamba na madaktar walogoma upi astahili malipo bora?kwa unjaa wako n kher ulimpe maji matitu vinzur kuliko mwenye taaluma yake hasa.heshimun taaluma za wasomi acha na miujiza.unaleta kichefuchefu hapa, mkuu polis Bugurun anatumia gar ya hela nying huku wa chini yake wanalala kwenye mabati.je huo ndo utu?ganga njaa achana na wenye fikra CHADEMA ndo tegemeo letu vijana wa taifa la leo.upo mbali ungekuwa karibu yangu ningekutandika bakora ili iwe funzo kwa wezi wenzako.Mjumbe hajalalamika kuwa CHADEMA hawana lawama nyie waraf ndo upuuzi mtupu mnatuletea hapa .peleka upuuzi wako wa wenzio, hapa kwa waelewa hutaki upumbavu.ipo siku mtakuja lipa jasho mnyonyalo wa tz na hilo lazima litimie,cheka leo kesho utanuna tu.
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula....

Peleka gamba huko huko kwa magamba.Umeacha utaalamu wako kwa tamaa ya kupata fedha za dhuluma huko sisiem.Inashangaza kijana kama wewe ukiwa unapotosha uma kwa ubinafsi,historia itakuhukumu wewe na magamba wenzako endeleeni kuwahadaa wananchi.Mwisho wenu umekaribia
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

mnafiki anajukanaje! uache umbeya huna hoja, ndo mana hamjui kwa nn tz maskini.walaf mna roho mbaya, wenye taaluma mashahara dun ila wabaizaj chaman mwenu posho juu + rushwa ndo mnayoyamudu.akili njaa taabu tupu, mkuu-polis Bugurun mmepata gar gharama wale wa chin mnawalaza kwenye mabat.huo ndo utu kweli! wewe na warafiwe mna nchi ya kumpata mtu? na wakati wa chama mbadala kuchukua nchi wewe huna ubavu wa kuzuia,ungekuwa karibu yangu ningekutandika ila kawaonyeshe wazembe wenzako.huu uraf ipo siku ya wanyonywao tz kutoka utumwa,nyie wafungwa haris kuwekwa jela .Viva CHADEMA
 
Nimesema mara nyinyi hapa jamvini. Hakuna aliye CCM bila kufuata pesa. Chadema wamempata mjombea kwa TZS 6.2m wao TZS 220m!! Hii inaonyesha jinsi gani wanachama wa CCM wapo kwa ajili ya pesa tu. Nadhani idea ya Mbowe kukataa ruzuku ya serikali itasaidia sana kujenga vyama vyote vya siasa na kupata watu wenye mapenzi ya kweli katika vyama na siyo kufuata pesa
Yaani watu nchi hii mnadanganywa mpaka basi. Kwa hesabu alizosema mbowe si za kweli. Kwa wastani ni kwamba kila mjumbe amepata tsh 7,045 ambapo ni nauli na chakula. Hebu mtu aniwekee hadharani mchanganuo wa hiyo Tshs 7,045 chakula ni shs ngapi na nauli shs ngapi. Hapa yaonyesha tume fixiwa
 
Wewe gamba toka hapa. Nyie endeleeni kujinufaisha na fedha za watanzania tu. Ipo siku inakuja mtazilipa. Nachukia sana sana hizi rangi za kijani na njano. Nachukia sana CCM. Unatetea nini hapa? Tumekwishawajua ndo mnaipeleka hii nchi pabaya.

Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.
 
mumwi kutoa sadaka sio kujipendekeza, na yule anasema ana mashaka na uchumi wangu mbona yeye hafai hata kuwa mwanafunzi wangu. Nikiamua kwrnda kufundisha wala hui mwanafunzi wangu mkuu labda u upgrade kwanza. Tusubiri tar mosi, kelele zote zinaisha hata slaa awe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, mbowe awe msimamizi wa uchaguzi, wabunge wote wa chadema wawe badala ya watatibu hapa arumeru CCM INASHINDA TU
 
U
Kashangae feri meli inaelea shilingi inazama! CCM ni Amani na utulivu, ukizingatia umoja wa kitaifa!!!! tuongee point muhimu za maendeleo ndio maana ya ushindani sio kashfa zisizomsadia mwananchi wa kawaida. Tusijenge chuki bila sababu.

Either wewe ni mzee sana au unamtindio wa ubongo
 
mumwi kutoa sadaka sio kujipendekeza, na yule anasema ana mashaka na uchumi wangu mbona yeye hafai hata kuwa mwanafunzi wangu. Nikiamua kwrnda kufundisha wala hui mwanafunzi wangu mkuu labda u upgrade kwanza. Tusubiri tar mosi, kelele zote zinaisha hata slaa awe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, mbowe awe msimamizi wa uchaguzi, wabunge wote wa chadema wawe badala ya watatibu hapa arumeru CCM INASHINDA TU

Daa Mwigulu unachemkaaa!!!! Pesa nyingi za kodi zetu mnatumia kwa fujo sana uchaguzi wa igunga mmetumia zaidi ya bil3,kura ya maoni arumeru zaidi ya mil220,kumuhudumia wzr kwa mwezi ni zaidi ya mil20 mbali na mshaara,kujenga nyumba ya gavana bil3,kujenga nyumba ya spika mmetumia bil1.5(at the end mtakuja kumuuzia mil5 akistaafu),hizo mil22 mmetumiaje weka mchakato hapa jamvini?
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.
Too low mheshimiwa mambo hayo waachie wahuni eti 22 Mbowe kasoma 220, lakini hata hivyo Nape kakubali mmetumia Mil220.
 
Hii imekaaje haya si matumizi makubwa mno kwa mujibu wa sheria mpya ya uchaguzi?
Tendwa anasemaje kwa hili.

Wajumbe CCM 1134.

Wajumbe CHADEMA 880.
Huna kumbukumbu sahihi bakuli tu wametembeza hapa Arumeru tumewapa mil. 10 hizo mil.6.2 umetoa wapi?
 
Napata tabu kuamini kuwa Nchemba anaujua uchumi. Tabula rasa?
Jirani kuna mda huwa naamini labda kuna mtu anatumia ID yake, mbona pumba nyingi sna, angalia hata anavyotetea hoja, haina tofauti na jitu linalobishana kwenye kilabu cha pombe
 
Nimesema mara nyinyi hapa jamvini. Hakuna aliye CCM bila kufuata pesa. Chadema wamempata mjombea kwa TZS 6.2m wao TZS 220m!! Hii inaonyesha jinsi gani wanachama wa CCM wapo kwa ajili ya pesa tu. Nadhani idea ya Mbowe kukataa ruzuku ya serikali itasaidia sana kujenga vyama vyote vya siasa na kupata watu wenye mapenzi ya kweli katika vyama na siyo kufuata pesa

Kagala: Wamehonga ili wapate, Sasa wanatoka kapa? Si bora wangekaa kando wakakubali matokeo?? Mzee Ben ataumbuka kama ileeeeeeeeeeee ya Temeke kulikozaliwa Vihiyo
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

Tuseme kama kweli ingekuwa mmetoa 220K ungekubali ikiwa wenzenu wampetumia 6k na kwa wajumbe ambao mnatofautiana kwa idadi kidogo. Rejea alichosema Mh. Sumaye kwenye Mahojiano ya DK 45 kuwa kinacholeta matatizo ni zile bahasha za kaki zinazokuja zimefungwa. Je unaweza kueleza Mheshimiwa ni kiasi gani huwekw,a kwenye bahasha hizo na nani hufadhili? Mtindo wa bahasha umeshiua nchi. Kaangalie wa ndugu zako Ibaga, shelui, chemchem na mpaka tyeme wanapata hizo bahasha? Mungu atusamehe. Kama ninyi wakweli tuelezeni kila mkutano mnagawana ngapi na mchape magazetini tujue mu wa wazi na kweli. Mungu atupe busara ya kujua maana ya neno ukweli la sivyo tunafanya maigizo tu.
 
Back
Top Bottom