Kura za maoni: CCM Mil. 220. CHADEMA Mil. 6.2

Mwigulu umenifungua macho! Ni kweli kabisa haiingii akili cdm kusema waliwapa wajumbe elfu mbilimbili, pia hata kama waliwapa elfu mbili kwa arusha ni unyonyaji na ni unafiki kusema wao ni wa mfano kuwa wakipata nchi wataboresha maslahi ya watu.wema huanzia nyumbani.mbowe naye anajisifia kupunja watu.Mwigulu nakushukuru kwa kuonesha wazi unachokiamini.
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

Chapeni kazi achaneni na magwanda kule kwao kuna kundi la kupata mil 19 (mtu moja) tu..inaitwa feasiblity study

CCM tena ongezeni dau la wajumbe lifike 20,000/- huu ndio ustaarabu wa waungawana..

ukiwasikiliza hao magwanda kuna kundi la kupata na kundi la kutumika...
 
Kuboresha mishahara ni tofauti sana na kuongeza posho za vikao ... hapa ni sawa na kufananisha mapera na nanasi. Tetea hoja yako bila kufananisha hayo mawili.

Halafu unaposema kulipa posho kubwa inaongeza mzunguko wa pesa, hiyo ni economics ya Idd Amin alipokuwa anasema you just need to print more money. Kwa hiyo watu waende kukaa lisaa limoja unproductively wakipiga kura za rushwa halafu unawalipa Sh. 50,000/=. Hiyo ina encourage uzembe na uvivu, watu wanakuwa wanavizia vikao tu na hata vijijini sasa hivi watu wanasubiria vikao vya posho.
 
Mkuu wajumbe wanastahili kulipwa ili kuwa na uzalendo katika kulinda maslahi ya chama..

Huwezi kuwataka wajumbe wafike kikaoni kwa sh.2000/- njaa na uzalendo ni mbali sana

Kuhusu economics...tuwaachie wenyewe..

hapa tunaongelea maslahi ya mjumbe wa chama na kwa kazi za chama.
 
Mwigulu umenifungua macho! Ni kweli kabisa haiingii akili cdm kusema waliwapa wajumbe elfu mbilimbili, pia hata kama waliwapa elfu mbili kwa arusha ni unyonyaji na ni unafiki kusema wao ni wa mfano kuwa wakipata nchi wataboresha maslahi ya watu.wema huanzia nyumbani.mbowe naye anajisifia kupunja watu.Mwigulu nakushukuru kwa kuonesha wazi unachokiamini.

kwahiyo mlitaka tuwape elfu hamsini kama nyie?
 
Mkuu, Nchemba unalalamika mno, unajua njia nzuri ya kutetea au kutoa ufafanuzi juu ya tuhuma ni kukokotoa data juu ya tuhuma hizo kwaajili yako na sio kuleta bla bla za upande wa pili, maana ktk upande wako wewe unakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kujua ulichofanya kuliko kuanza kurusha hoja za kejeli dhidi ya upande ambao haujui nini kimefanyika. Wanasiasa mnakuwa na matatizo ya kutanguliza hoja za utetezi wa uongo badala ya kusema ukweli wa jambo lililoko ktk tuhuma.
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

umesha weka bajeti ya wali na nyama wa j3 tujekula beche mkuu?nasikia unamwa mahela huko simchezo mkuu untembea na mabegi sita ya hela nafikiri unanukia mihela kilaukipita mkuu.
 
Mkuu kwani nyie CCM mmepanga kutumia shilingi ngapi?huko Arumeru nafikiri feasibility study yenu inaonyesha mkuu maana Igunga mlifanya kufuru sasa huko najua itkuwa balaa zaidi,uchaguzi mkuu 2010 octobar mabango tu mlitengeneza nje ya nchi kwa gharama kubwa yetu macho huko Arumeru.
 
Pumbavu gamba mkubwa wewe..

Kaka umeenda mbali sana,kesho huyo anabadiri mtazamo anakuwa mwenzio au uwewe unabadiri mtazamo unakuwa mwenzie,je utampa mkono wa hongera au pole?.Elewa siasa ni sera zinabadirika kulingana na matukio na muda,elewa hakuna chama kibaya wala kizuri,siasa ni kazi na inalipa.
 
We Mwigulu ni Shemeji yangu lakini ni Mwongo mkubwa Igunga ulijipendekeza kwenye makanisa ukajidai unatoa sadaka milioni moja na kuwaahidi wachungaji pikipiki baadae wachungaji uliwaacha kwenye mataa na uliiahidi kwaya fulani pesa ukawaacha kwenye mataa hii ya matumizi mabaya ya 220m itakuwa ni kweli ndo maana hata baada ya lile tukio la m. Wa mtu Igunga ulikanusha.

QUOTE=Mwigulu LM Nchemba;3473381]Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.[/QUOTE]
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

ni wapi ambapo mbowe ameona makengeza, hebu tuonyeshe na sie hapo alipotazama tuweze kujudge ikibainika kweli tumkimbize CCBRT,bado tunamhitaji,...usipotuletea hapa alipopatazama mbowe na kuona mil 220 wewe ndiyo utakuwa mnafiki uliyekubuhu
 
Wana JF mimi naamini unafiki na uongo sio sifa nzuri, ukweli unatabia ya kujitokea juu ya uongo. Mimi ndiye mweka hazina wa CCM nawambien hatujatumia milion 220 kura za maoni. Hii nadhani ni matatizo ya macho ya MHE MBOWE labda aliacha miwani nyumbani million 22 anasoma 220.Na hizi ilikuwa nauli kwa wajumbe. Ukimpa kila mjumbe sh elfu kumi nauli yake tokea ngarenanyuki hivi kweli ni matumizi mabaya? Hivi kweli mara zote tunajisifu kwamba tupeni nchi tuboreshe maslahi ya watu tukimaanisha kumlipa kila mtu sitahili yake ku demonstrate kauli hizi kwenye cha ni kutokuwalipa wajumbe? Wana jf pigeni hesabu wajumbe 880 wakipewa elfu tano kila moja ni sawa na 4.4m na bado kukodi ukumbi, bado bodaboda, bado chakula, bado mafuta na nauli ya vipngozi wa chadema walioluja kura za maoni, bado garama za vikao vya kamati kuu. Nimeuliza kwa mjumbe mmoja aliye kwepo kato ya hao 880 akasema walipewa elfu 10 nao ukizidisha mara wajumbe niilioni nane nukta nane(8.8) ni kweli tumefila kutaja figure tu hata kama sip ya kweli? Mimi kama mweka hazina wa chama sioni ubaya kuwalipa wajumbe nauli zao na posho ya kikao na uwezo ukiruhusu natamani wajumbe jata walipwe zaidi per diem kabisa ndio kuongeza mzunguko wa pesa. Ni unafiki kusema kuwa ni haramu kuwalipa wajumbe wa chama changu elfu kumi halafu useme nikipata nchi notawalipa walimu marambili ya sasa nitawalipa posho madakitari mara tatu ya sasa. Stahili ya wajumbe wa chama ni hii na ya madaktari ni ya kutibu. Nachukia unafiki.

mr green guard, kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Mwigulu noma kusema Mbowe alisahau miwani bana. Hata kama alisahau isngewezakana kuongezeka 0. Hii ni kudhalilishana lakini poa. Wewe utatoka Arusha na jicho moja tu.
 
Chapeni kazi achaneni na magwanda kule kwao kuna kundi la kupata mil 19 (mtu moja) tu..inaitwa feasiblity study

CCM tena ongezeni dau la wajumbe lifike 20,000/- huu ndio ustaarabu wa waungawana..

ukiwasikiliza hao magwanda kuna kundi la kupata na kundi la kutumika...

mnazika ile maiti saa ngapi???
 
Mwigulu noma kusema Mbowe alisahau miwani bana. Hata kama alisahau isngewezakana kuongezeka 0. Hii ni kudhalilishana lakini poa. Wewe utatoka Arusha na jicho moja tu.

ukiona mtu anajibu hesabu kwa maandishi tena ya kejeli ujue kazidiwa hoja,
kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Hii imekaaje haya si matumizi makubwa mno kwa mujibu wa sheria mpya ya uchaguzi?
Tendwa anasemaje kwa hili.

Wajumbe CCM 1134.

Wajumbe CHADEMA 880.

kama ndio hvyo CDM atangazwe kuwa mshindi basi.Au wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom