Elections 2010 Kura yangu uchaguzi mkuu uliopita

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Katika uchaguzi mkuu uliopita kura yangu niliigawa kama ifuatavyo: Kura ya urais nilimpa mgombea wa CUF, Ibrahimu Lipumba kwa kuwa ninaamini ni bora kuliko wote. Kwa upande wa Ubunge nilimpa mgombea wa CCM ambaye ninaamini ni chagua bora kabisa na kwa upande wa udiwani nilimpa mgombea wa CDM ambaye kwa ujumla ni ni bora yawezekana kuliko diwani yeyote niliyepata kumwona. Binafsi nilikuwa sichagui chama kwa kuwa ninaamini uadilifu wa mtu hautokani na imani yake katika chama, uadilifu wa mtu ni mtu mwenyewe na roho yake.
 
Tusiwachukie watu wengine kwa kuwa tu tunaamini katika itikadi moja. Taifa kwanza, mapenzi baadae
 
hakuna mtu anayechukia mtu mwingine tunachotaka ni mabadiliko, kama wewe ulikuwa unachukia mtu its up to you
 
Katika uchaguzi mkuu uliopita kura yangu niliigawa kama ifuatavyo: Kura ya urais nilimpa mgombea wa CUF, Ibrahimu Lipumba kwa kuwa ninaamini ni bora kuliko wote. Kwa upande wa Ubunge nilimpa mgombea wa CCM ambaye ninaamini ni chagua bora kabisa na kwa upande wa udiwani nilimpa mgombea wa CDM ambaye kwa ujumla ni ni bora yawezekana kuliko diwani yeyote niliyepata kumwona. Binafsi nilikuwa sichagui chama kwa kuwa ninaamini uadilifu wa mtu hautokani na imani yake katika chama, uadilifu wa mtu ni mtu mwenyewe na roho yake.

sijakuelewa
 
hakuna mtu anayechukia mtu mwingine tunachotaka ni mabadiliko, kama wewe ulikuwa unachukia mtu its up to you

tatizo hapa si mtu ni mfumo kama yeye ni bora lakini amechangamana na watu/mfumo mbovu unategea nn?kwa vyovyote atafanya sawa sawa na mfumo kumbuka ndege wafananao huruka pamoja usidanganyiki na rangi.
 
kura ni siri ndugu yangu. hata hivyo tunashukuru kwa kutuibia kidogo siri yako. happy new year 2011
 
Back
Top Bottom