Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

mi kura yangu ni kwa lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Yaani katika wapumbavu wewe una Phd ya upumbavu nimeona umeandika mambo mengi nikalazimika kusoma lakini nimeishia njiani baada ya kuona unaongea upumbavu hivi hata ndoa ya baba na mama yako haina migogoro ? Magufuli unaweza kumlinganisaha na huyo mtu wenu mnaye mbeba kwenye kapu? wewe mke wake umemuangalia ana uso wa huzuni wa kwako ana furaha gani pumbavu wewe?

Tulitaka rais mchapa kazi na siyo mke wa rais mwenye uso wa furaha, furaha ya mke wa rais inakusaidiaje wewe juha? Kama huna cha kupost acha na siyo kuandika habari ambazo huna uhakika nazo unataka ujue mpaka ndoa ya mtu wewe ya kwako mbona hujaandika jamii forum tukushauri ili usiachane na mkeo baada ya kumfumania na bodaboda?

Kuhusu uteuzi wa nafasi mbalimbali Mheshimiwa Rais anayo mamlaka mpaka siku Rais mteule atakapoapishwa ndipo mamlaka yake yanakoma, kwa hiyo hilo nalo linathibitisha utaahira wako wa kutokujua kitu na ushishangae anaweza kumteua mtu hata masaa machache kabla ya Rais mteule kuapishwa. Kama hujui mambo nenda shule kwanza kuliko kubwabwaja tu huku JF unatupotezea muda wa kusoma ujinga wako.
 
Nimependa sana uchambuzi wako,

Ninachojua mimi ni kwamba mtu havai ko au sweta ili bridi ije bali arii huja ii dipo watu hauvaa masweta u makoti. Hapa najifunza kuwa watu hufuata majira na si majira yanayofuaa watu.

Tukubali Tukate, NI MAJIRA YA MORANI- Edward wa Ngoyai na mwaa LOWASA

Ikulu hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Nimependa sana uchambuzi wako,

Ninachojua mimi ni kwamba mtu havai ko au sweta ili bridi ije bali arii huja ii dipo watu hauvaa masweta u makoti. Hapa najifunza kuwa watu hufuata majira na si majira yanayofuaa watu.

Tukubali Tukate, NI MAJIRA YA MORANI- Edward wa Ngoyai na mwana LOWASA
 
Nafikiri mpaka hapo kura zihesabiwe,mleta uzi umeshajua RAIS wako ni nani kama hautaki tumia bao la mkono basi.
 
magufuli Rais wetu watanzania.
 
Magufuli Mungu akuongoze
 

Mtaa wetu wote ni Lowassa
✌✌✌
 
Kura yangu ni kwa LOWASSA.
leo nimepata shavu la kuzunguka kwenye kampen za bwana Magu hapa Kinondoni, kiukwel jamaa hakubaliki.
Na naiman watu wengi wanaohudhulia kwenye mikutano ya huyu bwana huwa wanalipwa.
Nashukuru kwa ww ulieniunganisha kwa huyu jamaa ili nipate pesa ya mkate wa siku mbili tatu.

Baada ya oct25 tutaheshimiana
 
nimpe magufuri ili aipeleke wapi? kura yangu ni kwa LOWASSA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…