Kura yako utampa nani 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura yako utampa nani 2015?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KAUMZA, Oct 20, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mwanasiasa si mtu wa kutabirika, msimamo wake hutegemea upepo unavuma kwenda wapi. Kura yako utampa nani mwaka 2015 iwapo Dr Slaa atahamia CCM na kuwa mgombea urais wa CCM, wakati Samweli Sitta akihamia CDM na kusimamishwa kuwa mgombea urais. Kumbuka uchaguzi wa mwaka 2015 kura yako 1 ina thamani kubwa katika ustawi wa jamii yako.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  SAMWELI SITTA ni mnafiki namba mmoja huyu bora Lowassa
  by the way 2015 kura nitampa SOFIA SIMBA akigombea maana huyu aliwahi waambia wajumbe wa CCM Dodoma kuwa hapa ndani wote tu mafisadi sema tumezidiana kidogo kwa hiyo Chenge hana kosa la ajabu kuhukumiwa-----SOFIA NILIMPENDA KWA KUWA MKWELI
   
 3. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitampa Ridhiwani kwasababu kuna tetesi kwamba baba yake anamuwekea mazingira ili arithi kiti chake aendeleze mazuri anayo wafanyia Watanzania
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  2015 ni mbali sana kutathmini kura yangu nimpe nani!.

  Sitta na Slaa hawafai kuwa viongozi +cdm in general.
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  A very speculative thread that does not deserve to be hanging around. Mods please! Do something.
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hata malaika akishuka akahamia chama cha magamba hapati kura yangu, kwasababu mtu akishahamia chama cha magamba anakuwa gamba tayari. otherwise other factor remains constant and if an external force comes and act on me.... basi hapo mtu unaweza ukachange...
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Prof Maji Marefu.
   
 8. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ntakupa wewe!
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Follow the instruction Mzee.....
  Usizidishe hisia hapa ni "chit-chat" tu
   
Loading...