utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Acha ujinga, tunaipigia wapi hiyo kura?
Kura tunapigia kwenye sura yako au.
Matusi hayafai mkuu. Vyema ku like km njia ya kupiga kura yako
Mbowe zaidi
Hii "mivuto ya kisiasa" ilituponza toka mwaka 2005. Tumeshakoma vya kutosha kutegemea "mivuto" ya wanasiasapiga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?
acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.
Matusi hayafai mkuu. Vyema ku like km njia ya kupiga kura yako
Kura tunapigia kwenye sura yako au.
Zzk 100%
..wote kwa sasa hawafai lakini kama kunaulazima wa kuchaguwa na kama ni tiba mbadala basi angalau anaweza kuwa zzkpiga kura yako hapa, kati ya zitto kabwe na mbowe freeman, yupi ana mvuto wa kisiasa zaidi?
acha jazba changia na piga kura yako kimya kimya na kwa ustaarabu, rudi nyumbani kapumzike, subiri matokeo. hairuhusiwi kufanya vurugu.