Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,774
- 128,772
Nawapa pongezi sana Mchambuzi, Nguruvi3 kwa uchambuzi wenu. Ila kuna siku mtu mmoja alisema humu jamvini, kama vazi la taifa limetushinda tutaweza katiba. Ni ukweli mchungu, ila nawaambia njia ya kweli ya katiba mpya hapa nchini kwa mazingira haya ya uchakachuaji wa kura ni machafuko, hapo wangalau tunaweza kuotesha enzi mpya ya ukweli, kwani ili muhindi uote na kuzaa ni lazima uzikwe na kuota upya hapo hutoa mazao. Lakini huu wizi wa kura na kiwango cha rushwa kilichopo, ukiongeza na uchu wa madaraka wa watawala na matumizi ya jeshi tutachambua katiba hata miaka mia lakini mabadiliko itakuwa ngumu.
Kama tunataka mabadiliko tuanze na kuhakikisha watu wajiandiki
Kama tunataka mabadiliko tuanze na kuhakikisha watu wajiandiki