Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Wabunge wa cdm ni wa kitaifa, wale wa ccm sijajua ni wa nini
Lakini nadhani hao wa cdm peke yao hawatoshi kukifanya hicho ambacho unakitamani kitokee, ndilo tatizo lilipo hapo
Wabunge wa cdm ni wa kitaifa, wale wa ccm sijajua ni wa nini
Lakini nadhani hao wa cdm peke yao hawatoshi kukifanya hicho ambacho unakitamani kitokee, ndilo tatizo lilipo hapo
Ndio maana nguvu toka nje ya bunge ni ya muhimu zaidi
Hakuna nguvu nyingine ila ya Mwenyezi Mungu tu!Amin nakuambia,Mungu husikia maombi ya vilio vya wanaokandamizwa sababu ya unyonge wao!Kama haiwezekani kumlilia Mungu,basi hakuna jingine linalowezekana!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
hawa viongozi wetu mioyo yao ni migumu hata kushinda ile ya Farao enzi za waisraeli wakiwa utumwani Misri,sijui kama hiyo kura itawezekana,maana watakwambia katiba hairusu mara kanuni zimekiukwa.Kuhusu umwagaji damu ni kweli utatokea na si vizuri kumwaga damu lakini sasa vipi kuhusu hawa ndugu zetu wanaouawa kirejareja kadiri siku zinavyopita.Na mkuu kaamrisha tupigwe tu itakuaje?Hizo pia zinawezekana lakini athari zake kwa nchi ni kubwa sana ikiwemo umwagaji wa damu na itachukua muda mrefu nchi kurudia pale ilipo kabla ya vurumai kama zile, lakini kura kama hii haina athari zozote kwa nchi zaidi ya kumwambia mhusika kazi ya kuiongoza nchi imekushinda kaa pembeni.
hawa viongozi wetu mioyo yao ni migumu hata kushinda ile ya Farao enzi za waisraeli wakiwa utumwani Misri,sijui kama hiyo kura itawezekana,maana watakwambia katiba hairusu mara kanuni zimekiukwa.Kuhusu umwagaji damu ni kweli utatokea na si vizuri kumwaga damu lakini sasa vipi kuhusu hawa ndugu zetu wanaouawa kirejareja kadiri siku zinavyopita.Na mkuu kaamrisha tupigwe tu itakuaje?
serikali hii imechoka sana, waziri mkuu anaruhusu mauaji kwa raia waliompigia kura, mwigulu nchemba anafanya atakalo hata kwa kuua wapinzani wake!Kwa mlolongo wa matukio yanayoendelea kwenye taifa la sasa ni dhahiri kuna udhaifu mkubwa kwenye serikali maana chochote wanachosema hawaaminiki tena,
Raisi haonekani kuonyesha msimamo thabiti juu ya kukemea maovu yanayoendelea kwenye taifa. Wanaofanya maasi dhidi ya upinzani (ambao serikali ndio mtuhumiwa wa kwanza) wanaachwa huru,
Waziri mkuu ametamka wazi wamechoka kazi, na wanachokifanya sasa ni kutoa kipigo tu kwa wananchi. Hii ni kauli inayotolewa na kiongozi mkuu kabisa wa serikali.
Taasisi nyeti kama jeshi la polic havionekani kuonyesha weledi wowote wa kazi zao na wamekuwa hatari kwa wanachi,
Taasisi za kimahakama hazioneshi kutenda tena haki, na rushwa ndio habari ya siku,
Kama serikali ni hatari kwa maisha ya wananchi na kuna hisia kwa asilimia kubwa inaendekeza sera kandamizi za mauaji yasiyo na sababu huku ikipambana kila kukicha kuingia mikataba kandamizi ya rasilimali za nchi,
Je ni wakati wa kufikiria uwezekano wa kura ya kutokuwa na imani na hii serikali?
Je utaratibu huu unaweza kuanza nje ya bunge?
serikali hii imechoka sana, waziri mkuu anaruhusu mauaji kwa raia waliompigia kura, mwigulu nchemba anafanya atakalo hata kwa kuua wapinzani wake!
Kiongozi wetu na vyombo vyake vya dola wameamua kutumia mabavu kutawala raia wake hata kama hawawataki kwa kutumia sanduku la kura. Ila kwa nguvu za Mungu na juhudi zetu wapogania haki hakika tutashinda udhalimu huu.
Watu choka mbaya hadi PM kasema amechoka sasa hakuna jinsi, lakini ukileta uzi kama huu utagundua kitu kimoja bado hatuko tayari kuuondoa utawala uliopo. Tukianza kutoa Modalities and directions watu wanaanza mbio. Rudini hapa kwenye huu uzi, toeni michoro ya kuingia Magogoni kabla ya 2015, alternative zote wekeni hapa hatuwezi kushindwa kitu.
Ukiangalia matendo yanayoendelea unapata hasira kali mpaka unasema kwanini tusichapane tu tujengeane adabu kama Kenya, lakini ukitumia busara kuzifikiria consequences za kuchapana hasa vifo vitakavyotokea, unaona sio njia sahihi. Mtu unabaki tu na masononeko yaliyojaa hasira. Lakini, hali hii ikiendelea kwa miaka 2 au 3 mbele sioni kizuizi cha kurudisha hasira za watu waliochoka na maisha magumu. Lazima kuna hitilafu kubwa itatokea, na chanzo kitakuwa ni jeshi la polisi.