Kakistocracy- serikali ya hovyo kabisa.

Kakistocracy- serikali ya hovyo kabisa.

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,782
Reaction score
9,708
Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy.

Sifa Kuu:
-Uwezo mdogo na rushwa:
Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism) badala ya sifa au uwezo.
Kupuuzwa kwa wananchi:
Serikali hutanguliza maslahi ya watawala wala rushwa badala ya jamii nzima.
Kuvunjika kwa taasisi:
taasisi hafifu huleta sera mbaya za umma,utendaji wa hovyo hadi kupelekea kupoteza imani ya wananchi. Now you Know.
 
Back
Top Bottom