Kura sio siri tena

Kura sio siri tena

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
2,702
Reaction score
3,834
Kwa hali ilivyo kura sio siri tena kwa kiwango kikubwa maana asilimia kubwa ya wapiga kura wameshajipambanua watampatia nani kura zao.

Vilevile hata wanaogombea na wapiga debe wao kwaasilimia kubwa kilammoja atapigia chama au kundi lake. Pia mawakala wa vyama wanajieleza wao watampigia mtugani nawanalinda maslahi ya chama gani.

Kisichotakiwa kwasasa ni kutopiga kampeni kwenye vituo vya kupigia kura, kutoonesha aina yoyote ya ushawishi au kuvaa nguo ama bango la chama au mgombea.

Kilipo ni wagombea na wafuasi wao kujiandaa kisaikolojia kuyapokea matokeo yenye pande mbili ambazo ni kushinda na kushindwa na HAKUNA SULUHU HAPA.

Asijemtu akashawishi kundi lolote ambalo yeye analimudu likoseshe wengine raha na amani ya kusherehekea ushindi halali wa mtu wao

Hayo ndio maoni yangu
 
Back
Top Bottom