Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,399
Kwenye hili wanasiasa utawaua. Nani atakubali jimbo lake life... ondoa viti maalumu; kila wilaya iwe pia jimbo la uchaguzi na iwakilishwe na wabunhe wawili wa kuchaguliwa mwanaume na mwanamke. That's it!
... kupiga hatua kama taifa sio lelemama Mkuu. Lazima wengine waumie. Kwingine huko walimwaga damu sembuse kupoteza jimbo!Kwenye hili wanasiasa utawaua. Nani atakubali jimbo lake life
Tatizo ni kuwaachia hao hao wanaotakiwa kuumia ndio wajiumize, jambo ambalo ni gumu.... kupiga hatua kama taifa sio lelemama Mkuu. Lazima wengine waumie. Mwingine huko walimwaga damu sembuse kupoteza jimbo!
Lako ni pendekezo lingine; lakini vita maalum kwa sasa havibadilishi takwimu, maana vyama vinateua orodha ya viti maalum, haviamui kufuatana na jiografia.... ondoa viti maalumu; kila wilaya iwe pia jimbo la uchaguzi na iwakilishwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa mwanaume na mwanamke. That's it!
Sisi tunataka tupunguze wapiga mboyoyo na makofi wewe unataka waongezeke ?Ndomaana kuna haja ya kua na two houses house of representative ambayo inaendana na idada ya watu na house of senate anae endana na geographical area.......kwa bunge moja sio fair katika democracy
... ondoa viti maalumu; kila wilaya iwe pia jimbo la uchaguzi na iwakilishwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa mwanaume na mwanamke. That's it!
Mkuu, naona unaliamusha dude ili kanda ya ziwa na magharibi wadai majimbo zaidi ya uchaguzi kulingana na population density yao!
Majimbo yaendane na idadi ya watu
Wanawake wanatakiwa wapambane na sio kubebwa... ondoa viti maalumu; kila wilaya iwe pia jimbo la uchaguzi na iwakilishwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa mwanaume na mwanamke. That's it!
Ukitaka kukaribia usawa wa kura za wananchi, bila kufuta wabunge Lindi, basi ungeweza kutumia wastani wao wa wakazi 112,000 kila mbunge.... kupiga hatua kama taifa sio lelemama Mkuu. Lazima wengine waumie. Kwingine huko walimwaga damu sembuse kupoteza jimbo!
... miongoni mwa mapendekezo ya Tume ya Warioba ya Katiba Mpya yalikuwa hayo. Kwamba kila jimbo liwakilishwe na ME na KE.Wanawake wanatakiwa wapambane na sio kubebwa
Kweli, lakini changamoto kubwa ni Dar es Salaam. Wanahitaji zaidi ya nusu milioni ili wampate mbunge. Linganisha ni mikoa isiyohitaji lakhi mbili.Mkuu, naona unaliamusha dude ili kanda ya ziwa na magharibi wadai majimbo zaidi ya uchaguzi kulingana na population density yao!
Um hii hapana matumizi mabaya ya Fedha. Fair competition tu inatosha..!... ondoa viti maalumu; kila wilaya iwe pia jimbo la uchaguzi na iwakilishwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa mwanaume na mwanamke. That's it!
... sio mtazamo wangu bali ndicho watanzania walichotaka kwenye mchakato wa Katiba Mpya.Um hii hapana matumizi mabaya ya Fedha. Fair competition tu inatosha..!
Kwani mimi Mrundi .! Hio kuwa na viti vya kiume na kike big no..!... sio mtazamo wangu bali ndicho watanzania walichotaka kwenye mchakato wa Katiba Mpya.
... of course haiwezekani watanzania wote wawe na mtazamo mmoja. Kwako "big no" ila ndio hivyo wengi wape.Kwani mimi Mrundi .! Hio kuwa na viti vya kiume na kike big no..!