Kura kwa Diamond wa Tanzania

Kura kwa Diamond wa Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,512
Reaction score
53,476
Tunaweza kuwa na tofauti zetu na utani na hawa ndugu zetu Wabongo, lakini hapa utani kando, jameni hili kombe tulipiganie kama wana-EAC. Baadaye tutarejelea malumbano yetu. Naombeni tupige sana kura na kuwajulisha wenzetu kwenye mitandao. Diamond Paltinum(Best International Act: Africa) na Mkenya Lupita Nyong'o (Best actress)
BET 2014 Nominees, Davido, Sarkodie And Tiwa Savage Makes The List
ushindi wake Diamond hata sisi Wakenya tutajivunia maana hiyo video ya "Number one" ilitengenezwa na kuwa produced na Wakenya "Ogopa Deejay"

Geza Ulole
waltham,Bantugbro, Ab-Titchaz, Dhuks, mwitaz, livefire, Nairoberry, Koborer, Askari Kanzu, mwathai, Ngongo,kadoda11,nomasana, NairobiWalker, Wacha1,Kiranga, Koba, Ndahani,Candid Scope,FaizaFoxy,The Conquerer, EMT,MziziMkavu,CattleRustler, EngineerLMG, Frank quails, Gulioni, jolyta, Jungumawe, Sinister, Bulldog, kadoda11
 
Last edited by a moderator:

Yan am gonna vote like never b4
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom