Mr Bean.
Senior Member
- Jan 25, 2015
- 185
- 128
Wadau,
Naomba nijuzwe kuhusu zile kura zetu hupelekwa wapi mara baada ya uchaguzi na kwa madhumuni gani.Au huteketezwa kama vipodozi na meno ua tembo.
Na inasemekana kura ni haki yangu je kwamaana hiyo naweza iomba kura yangu nikapewa nikae nayo mwenyewe.
Na kama zinahifadhiwa ina maana tokea ezi za kuchagua kivuli au Nyerere hizo kura bado zipo kama zipo, zipo wapi?