Kupwaya kwa uongozi wa CHADEMA

Hii mada imenifanya nika google kuangalia kwa ufupi tofauti ya liberalism and conservatism.

Kutokana na matamshi ya wenje inaonesha Chadema kipo mlengo wa kulia , sasa huu mlengo wa kulia ni upi? Soma hapo chini. Wewe mwana Chadema jiulize je hizi hapa ndio core values za chama chenu??

On the social safety net
The liberal view (CCM & CUF)
• There are people in this world who need help. They struggle to put food on the table, or can’t afford medical care—and many of them live in the United States. A civilized society would try to help them, instead of leaving them to fend for themselves. (Someday, the one who needs a helping hand may be you, or someone you love. All it takes is a serious illness, an injury, a lay-off, or a death in the family.)
The conservative view (CHADEMA)
• People are responsible for themselves—and, given the chance, they’re capable of supporting themselves and their families. If the government makes a practice of providing for people (with welfare, for example), they become weak and dependent, and lose their will to work. Nothing could be more destructive to the health of our society.

On wealth, taxes, and the role of government
The conservative view
• Government should serve the people—not the other way around.
• “That government is best which governs least.” In business, this means letting the free market (the most efficient economic system ever devised) generate wealth without a heavy hand trying to direct it.

The liberal view
• The proper function of government is to solve problems: to reduce poverty, protect civil rights and civil liberties, keep us safe from preventable harm, and, as much as possible, ensure that all Americans have an equal chance to succeed.
• We aren’t isolated individuals, struggling for survival: we live together, in a society. Ignoring the problems around us is a narrow-minded way to live. A society in which everyone has enough is better than a society where some are rich and others starve.
 
Kama viongozi wa Chadema wangekuwa hawapwai na wako makini basi udharirishwaji wa Chadema wa kulazimika kuomba msamaha kwa swala la hotuba yao mbovu, lisingetokea. Hata mtoto anajua that kind of speech was very much out of place
 
Bola m nimejua baada ya wenje kutuhabarisha ni chama gani kinaukubali ushoga na usgaji maana ingekuwa bahati mbaya CUF kikachaguliwa Cameroon angestawisha sera zake za ushoga bongo mpka basi. Nashukuru CCM hakipo huko ndo maana Kikwete akamtuma Membe akemee sera hiyo haraka sana. Sasa CUF wangekuwa madarakani wangeweza kukemea kweli?
Kwa maana hiyo CUF ushoga wao na UDINI( Kwa mujibu wa Lipumba) wao wenyewe mbona majanga sasa hakuna haja ya kuwa na chama kama hicho unless na wewe kama unashabkikia mlengo huo wa kichama.
 
Mleta mada hujawahi kuleta mada kuisifia cdm,huwa unawasifia magamba so Umeingiza siku yako.
 
kidogo kuna mantiki tunataka chama ambacho kitajijenga kwa kutoa hoja ya malengo yake kiasi kwamba hata mwanachama wa chama kingine aone siku ya kupiga kura kuwa hawa watatupeleka mbele kwa hoja zao na awapigie kura.
hoja ya leo bungeni ni uchambuzi wenye lengo la kupaka matope na hakuna chama kinachoweza kuvumilia kupakwa matope mbele ya umma kinyamaze. kwa mda mrefu vyama vyetu vinapenda kujinadi kwa kusema fulani anashirikiana na fulani kitu ambacho si hoja ya chama kingine kupigia kampeni.

tuko na matatizo mengi hivyo tunataka chama kitakachojikita katika kutuambia kitatatuaje matatizo yanayotukabili. kejeli kama hizi hazikijengi chama bali zinakibomoa maana ukiitamka wasiofikiri watashangilia hapohapo, lakini wanaofikiri ambao ndio wengi watakaa kimya ila watakudharau mwisho wa siku utakuja kujiuliza mbona nilikuwa nashangiliwa lakini nimeanguka.

jengeni chama kwa kuweka mikakati ya kubuni sera za kukomboa watanzania na hizo ndizo mzinadi hadharani achaneni na sera za kujiimarisha kwa kushambulia vyama vingine. weka mikakati mtangaze sera zenu wakati wote mfano sera za kupambana na mafisadi sio lazima mtaje watu lakini muwaahidi wananchi mkipewa nchi mtafanya nini kwa mafisadi na nini matokeo yake kwa wananchi, waelezeni watu sera yenye mvuto ya kufuta kodi kwenye vifaa vya ujenzi na mnasema wazi tunaitaka serikali iliyoko madarakani ifute kodi hiyo na sisi tukiingia tutafuta ili kama chama tawala kitaamua kuchukua hiyo sera sio ninyi kupinga bali itakuwa vema na wananchi watajua chama fulani ndio kimetukomboa.

yapo mengi ya kujikita nayo ambayo yatawashawishi watanzania walio wengi kuwaunga mkono maana mtakuwa mmewagusa. jiulize hii hoja ya CUF na ushoga itawaongezea wafuasi kiasi gani. busara inahitajika kujiepusha na mtizamo wa vurugu mbele ya wananchi. wekeni dira ya jinsi gani mnataka kushawishi watanzania wawakubali alafu ndio mtafute hoja kupitia hiyo dira yenu kwa kuangalia dira itakayowafanya mshangiliwe majukwaani na siku ya kupiga kura muonekane mashujaa. tafadhali tafuteni mbinu ya kukua kwa haraka maana maisha yenyewe haya mafupi tunataka mabadiliko wakati wetu ili maisha yetu yaboreke tukiwa bado na nguvu zetu

Mkuu Ego, kabla hujaandika yote haya ulipaswa uangalie video ya Prof. Lipumba kisha usome hotuba ya Wenje. Baada ya hapo ungeweza kuja na mchango mzuri juu ya hotuba hiyo!

Kwa mtizamo wangu ni kwamba, Prof. Lipumba aliwashambulia CDM (japo hakutaja jina) kwamba wanasaidiwa na nchi za ulaya za kikristo ili waweze ili waweze kushika dola kisha wawape maliasili zetu hao waliowasaidia kuingia madarakani. Na huku akionyesha kwamba CUF haipokei misaada kutoka nchi rafiki ili kuwawezesha na wao kusimama.

Sasa basi, Wenje katika hotuba yake alitaka kuonyesha watanzania kuwa Lipumba kadanganya watu kwamba hawapokei msaada wowote kutoka nje ila CDM pekee ndio wanaopata misaada. Na kibaya zaidi ni kwamba CUF inapata misaada kutoka kwenye vyama vinavyotetea ushoga na usagaji! Sasa tatizo la Wenje liko wapi?!
 
mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa taifa letu wala kwao.unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama cuf unategemea nini? Wana cuf na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na ccm milele, mark my words. Kwani najua dr. Slaa kama katibu mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.mkiwa na viongozi kama wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,slaa and mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana ccm, lakini ccm ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za ccm bungeni uje ulinganishe na za wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!

huo ndio upeo wako mwanamke wa kibangladesh
 
Mleta mada hujawahi kuleta mada kuisifia cdm,huwa unawasifia magamba so Umeingiza siku yako.
Jambo usilolijua ni kwamba Chadema kama chama kikuu cha upinzani kinatakiwa kujizatiti kuendelea mbele kupambana na mwisho kuchukua dola. Sasa ili kuweza kufanya hilo ni lazima wawe makini zaidi kuliko wanavyoonyesha sasa. Kama Chadema watapambana kwa matusi na CUF na CCM kwa two fronts, I dont think Chadema wataweza kushinda. The truth is CDM has been wounded by CCM onslaught. Mifano ni Iramba kwenye chaguzi. Sasa ukiwa na viongozi ambao hawana strategy mpya basi usitegemee cdm kushinda huko mbeleni. Yawezekana upeo wangu ni mkubwa kuliko wako so utaishia kunilaumu kuwa siipendi cdm bila wewe kutoa hoja yoyote yenye mashiko
 
Hakuna chama makini kama chadema, mnasema uongozi umepwaya, mbona ccm wanabaki wakihangaika kutaka kuwavua ubunge wabunge wa chadema? Ccm ni janga kwa taifa letu!
 
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!

wasiojua wakisemacho utawajua
 
Mkuu Ego, kabla hujaandika yote haya ulipaswa uangalie video ya Prof. Lipumba kisha usome hotuba ya Wenje. Baada ya hapo ungeweza kuja na mchango mzuri juu ya hotuba hiyo!

Kwa mtizamo wangu ni kwamba, Prof. Lipumba aliwashambulia CDM (japo hakutaja jina) kwamba wanasaidiwa na nchi za ulaya za kikristo ili waweze ili waweze kushika dola kisha wawape maliasili zetu hao waliowasaidia kuingia madarakani. Na huku akionyesha kwamba CUF haipokei misaada kutoka nchi rafiki ili kuwawezesha na wao kusimama.

Sasa basi, Wenje katika hotuba yake alitaka kuonyesha watanzania kuwa Lipumba kadanganya watu kwamba hawapokei msaada wowote kutoka nje ila CDM pekee ndio wanaopata misaada. Na kibaya zaidi ni kwamba CUF inapata misaada kutoka kwenye vyama vinavyotetea ushoga na usagaji! Sasa tatizo la Wenje liko wapi?!
unajua mweu akichukua nguo zako unaoga na wewe ukamkimbiza ukiwa uchi ili akupe nguo zako nyote mnaonekana wehu. swali langu hapa ni je kweli sisi watanzania tunataka vyama vya kusimama kwenye majumba ya ibada kushutumiana na kutumia ukumbi wa bunge kushutumiana.

ki msingi hiki kinachofanywa na vyama vya siasa ni comedy inachekesha na utapata washabiki lakini si wa kukupigia kura. watanzania wenyewe ndio tutanyoosha siasa zetu kwa kuwaambia wanasiasa
komedy waachieni kina joti na ninyi mjikite katika seriousness ya kukuza uchumi maana kila kitu kimekaa kwenye uchumi.
 
Chadema watu wanawasaidia kwa kuwaambia ukweli but mnajifanya mnajuaaaaaa. Tunashukuru mtaendelea kutuchallenge milele.
 
Cjaona integration ya Dr, wa ukweli na Hotuba ya kambi rasmi ya Upinzani,au kila unalofanya unamuwaza Dr tu?
 
Back
Top Bottom