Kupwaya kwa uongozi wa CHADEMA

Kupwaya kwa uongozi wa CHADEMA

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
 
kaka wewe hotuba umeisika au umeisoma kaka?wacha kupotosha umma,hata mwalimu Nyerere alisema vijana wa leo ni wavivu kufikiri nadhani wewe ni mmoja wapo
 
ungesema angalau kijisehemu cha hotuba ambacho hakijakaa vizuri ningekuoana una maana ila kwa izo point zako naona ni stori tu za kahawani:yell:
 
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki

Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina
 
Sikutegemea thread kama hii toka kwako. Labda wakati mwingine soma ukiwa umetulia halafu subiri hatima ya hoja uone waliotulia wanasemaqje. Maana hajatulia.
 
Kwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao
 
Hivi umeisoma hiyo hotuba ya Wenje au umekurupuka kutoka maliwatoni. Kama Dr. Slaa aliipitia, unafikiri UONGOZI wa bunge haukuipitia kabla ya kusomwa BUNGENI? Au unafikiri Wenje alitoka hotelini tu na kuja kuisoma bungeni?

Kama hicho alichokisema Wenje kingekuwa na matatizo unafikiri KITI CHA SPIKA tena MAGAMBA kingekubali kisomwe bungeni?

Tatizo la Watanzania ndiyo hili, hatutaki kuambiwa UKWELI. Tunataka kusifiwa tu kama yule MFALME JUHA aliyekuwa anasifiwa kwamba NGUO zake zimempendeza ili hali yuko UCHI wa MNYAMA.

Mimi nilitegemea CUF wakanushe kwamba sio mwanachama wa liberal na kwamba hawapokei misaada kutoka vyama vya ki-liberal!
 
mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa taifa letu wala kwao.unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama cuf unategemea nini? Wana cuf na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na ccm milele, mark my words. Kwani najua dr. Slaa kama katibu mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.mkiwa na viongozi kama wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,slaa and mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana ccm, lakini ccm ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za ccm bungeni uje ulinganishe na za wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!

jibu hoja je cuf wapo kwenye mlengo wa kilebirali au la naww usioanze kuchanganyikiwa kwa kuwa ni mwanacuf cc atukuelewi je wapo uko nini mlengo wa kileberal?jibu hoja ucropoke.
 
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki

Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina

Kweli aisee!
 
kidogo kuna mantiki tunataka chama ambacho kitajijenga kwa kutoa hoja ya malengo yake kiasi kwamba hata mwanachama wa chama kingine aone siku ya kupiga kura kuwa hawa watatupeleka mbele kwa hoja zao na awapigie kura.
hoja ya leo bungeni ni uchambuzi wenye lengo la kupaka matope na hakuna chama kinachoweza kuvumilia kupakwa matope mbele ya umma kinyamaze. kwa mda mrefu vyama vyetu vinapenda kujinadi kwa kusema fulani anashirikiana na fulani kitu ambacho si hoja ya chama kingine kupigia kampeni.

tuko na matatizo mengi hivyo tunataka chama kitakachojikita katika kutuambia kitatatuaje matatizo yanayotukabili. kejeli kama hizi hazikijengi chama bali zinakibomoa maana ukiitamka wasiofikiri watashangilia hapohapo, lakini wanaofikiri ambao ndio wengi watakaa kimya ila watakudharau mwisho wa siku utakuja kujiuliza mbona nilikuwa nashangiliwa lakini nimeanguka.

jengeni chama kwa kuweka mikakati ya kubuni sera za kukomboa watanzania na hizo ndizo mzinadi hadharani achaneni na sera za kujiimarisha kwa kushambulia vyama vingine. weka mikakati mtangaze sera zenu wakati wote mfano sera za kupambana na mafisadi sio lazima mtaje watu lakini muwaahidi wananchi mkipewa nchi mtafanya nini kwa mafisadi na nini matokeo yake kwa wananchi, waelezeni watu sera yenye mvuto ya kufuta kodi kwenye vifaa vya ujenzi na mnasema wazi tunaitaka serikali iliyoko madarakani ifute kodi hiyo na sisi tukiingia tutafuta ili kama chama tawala kitaamua kuchukua hiyo sera sio ninyi kupinga bali itakuwa vema na wananchi watajua chama fulani ndio kimetukomboa.

yapo mengi ya kujikita nayo ambayo yatawashawishi watanzania walio wengi kuwaunga mkono maana mtakuwa mmewagusa. jiulize hii hoja ya CUF na ushoga itawaongezea wafuasi kiasi gani. busara inahitajika kujiepusha na mtizamo wa vurugu mbele ya wananchi. wekeni dira ya jinsi gani mnataka kushawishi watanzania wawakubali alafu ndio mtafute hoja kupitia hiyo dira yenu kwa kuangalia dira itakayowafanya mshangiliwe majukwaani na siku ya kupiga kura muonekane mashujaa. tafadhali tafuteni mbinu ya kukua kwa haraka maana maisha yenyewe haya mafupi tunataka mabadiliko wakati wetu ili maisha yetu yaboreke tukiwa bado na nguvu zetu
 
Kwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao

Warudishie kadi yako kama ulichukua na elekea chama kingine.
 
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
naona umekunywa kinana mbili baridiiiii
 
Kwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao
yaani kati ya michango iliyoenda shule na wewe umo ndugu wengine wanazarau wenzao eti hawasomi hata ukisoma millions times utasoma cuf ni mrengo wa ushoga then what next we critical issues za kuongelea pale kuna mambo mengi yakutatua kuhusu hiyo wizara then mtu analeta mambo ya ushoga tena bungeni sasa mwenye majukwaa watasema nini yaani sitashangaa kuletewa ishu za ushirikina bungeni watu hawaangalii issue muhimu sasa urafiki wa ccm na vyama vya nje unatuhusu nin cdm na marafiki zake wanatuhusu nin tena bora hsta ni hao cuf wangekuwa chama tawala chenye serikali ndo tungeongea kwamba wanataka kuingiza ushoga sasa cuf ina effect gani labda
 
usishangae kilichomkuta odinga kikawakuta cdm kwenye uchaguzi ujao maake waishajihakikishia wao ndo wenye dora subili sauti za watu kupitia ballot paper
 
Mijitu mioga inayoogopa ukweli haifai katika mageuzi!

Wewe huoni mantiki ya hoja ya Wenje kuhoji uhalali wa mahusiano ya vyama kimataifa?

Unasema mbona wenja hakusema itikadi ya chama chake??!

Jisomee hiyo hotuba tena utaona mantiki ya hoja hiyo!

Vinginevyo go & eat a Coke!
 
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki

Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina

Hiyo mirengo aliyoitaja wenje kwenye hotuba yake inatusaidia nini sisi kama Watanzania? kama siyo kuendleza upumbavu wa kujadili watu badala ya issues.............
 
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!

Mkuu umetoa mapovu mengi sana kama vile umekunywa/umenywesha sumu ya panya,hivi hotuba umeisoma au ulihadithiwa?Jaribu kuisoma taratibu then uielewe ina maana gani.Pia kumbuka Hotuba ya vyama vya Upinzani Duniani sio kama ya chama ambacho hutawala ile inakuwa kali zaidi na tofauti zaidi ili kuamsha serikali ifanye mambo na pia kama serikali ina akili na sio DHAIFU kama Serikali ya KIkwete basi angalau itachukua mawili matatu kutoka hotuba ya Upinzani.Pia nakushauri ukimaliza kuisoma ile Hotuba aliyoiwakilisha Mh Wenje endelea kufungua www.google.co.uk then chapa wa vyama ambavyo ni marafiki na Cuf then baada ya hapo utakuwa umeshaamka.Kaka taratibu achana na Muhongo hana issue jiangalie mwenyewe Uprofessor wa Muhongo wala usiuhofo wewe bila hata ya kuwa na Degree unaweza kumshinda Muhongo kwa point sifahamu kama unayo Degree na kama unayo basi unaweza kumshinda.Ni hilo tu nakutakia kila la kheri soma taratibu bila ya zogo then utaelewa tu na kama hutaelewa leo/kesho basi the following day utaelewa tu.Kwani nakumbuka mwalimu wangu wa Physics alikuwa anatuambia hivyo kama huelewi leo basi utaelewa kesho!!!
 
Back
Top Bottom