Kupunguzwa kwa paye

Status
Not open for further replies.

TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
367
73
Wana JF, the Great thinkers heshima Kwenu

Siku ya MEI MOSI, Mheshimiwa Rais aliahidi kutupunguzia mzigo wa kodi na Nyongeza ya Kima cha chini cha mshahara, Kwamba mabadiliko hayo yangeelezwa kwa kinagaubaga. Katika hotuba za mawazi wa Fedha na Kazi

Nimesubiri kwa hamu hotuba za mawazili hao sijasikia nafuu hiyo ya Kodi !

Je tumedanganywa ? au kuna habari imenipita ?

Tafadhali naomba kujuzwa

Ahsanteni
 
Mkuu KakaJambazi heshima Mbele

Nadhani unamaanisha hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi mei

Hiyo kwa bahati mbaya sikuipata ? Je alizungumzia hilo suala ? PAYE emepungua kwa kiasi gani ?

Ahsante
 
Kaka, kwa mtaji huu akitokea ----- fulani akasema kitu kisichokuwepo inaonekana utamwamwini. Kwani mshahara kima cha chini umejulikana ni kiasi gani?
kwa taarifa yako bajeti kubwa haijasomwa, itakaposomwa Alhamis ijayo tarehe 13/06/2013 ndio mambo yote hayo yatajulikana. Yanayosemwa sasa hivi yote ni ngonjera na mapambio tu. tusubiri.
 
Nukutakieni heri ya mwaka mpya wa fedha wafanyakazi wote.
Mungu atawapa nafuu ya MAKODI ili na sisi wafanyakazi wenu wa majumbari mtufikirie.
PAMOJA WAKUU
 
Mliofuatilia bajeti naomba kujulishwa

Kodi imepungua kiasi gani kama napata Tsh
2,000,000/= Gloss
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom