Kupunguzwa kwa idadi ya mabehewa kwa treni ya Ubungo maziwa - Stesheni kunasababisha msongamano

Coping Strategy

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
439
384
Wakuu.

Tangu safari ya treni la Pugu kwenda mjini kuanza, kumetokea msongamano mkubwa wa watu kwa treni la Ubungo Maziwa kwenda mjini hiyo imetokana kupunguzwa kwa idadi ya mabehewa yake na kuongezewa treni ya route ya Pugu station.

Ni vyema management watafute mbadala wa utatuzi wa hili tatizo, uhitaji ni mkubwa sana, mabehewa yanajaa sana, si salama kwa upande wa abiria.

Nawasilisha.
 
Usemalo ni kweli mkuu, mabehewa yanajaa sana hadi wengine wananing'inia kwa njee, si salama kwa wasafiri. Nadhani serikali makini italifanyia kazi hili kupitia wizara ya uchukuzi.
 
Simpande magari ya mwendokasi! Ahhh
Au ndo kuwapiga bao wa mikoani?
Wanaume wa dar taabu kwelikweli
 
Back
Top Bottom