mkuu, nenda google plsy store download app ya REDUCE PHOTO SIZE hiyo ni nzuri na mimi niliitumia.Habari za saizi.
Wadau kwa anaefahamu namna ya kupunguza ukubwa wa picha iwe chini ya mb 1 na 150 x 120 pixels ili niweze kuiapload kwenye maombi ya mkopo. Natanguliza shukrani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu anauliza jamho la msingi wee unamdhihaki. UlaaNiwe ufe usiku huu.
Msamehe. Kwakuwa hajui alitendalo.mtu anauliza jamho la msingi wee unamdhihaki. UlaaNiwe ufe usiku huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We kondoo kweli laana zako zikurudie mwenyewemtu anauliza jamho la msingi wee unamdhihaki. UlaaNiwe ufe usiku huu.
Sent using Jamii Forums mobile app