yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Habari wana MMU? Mi ni member mpya nategemea mtanipokea vzr. Nimekuja na swali ili niweze kupata maoni yenu na tuweze kuwasaidia pia wale walio kwenye uhusiano wa mbali. Hivi ni kweli kwamba wapenz kuweka picha walizopiga pamoja kwenye mitandao ya kijamii kama fb, JF, na wakati mwingine kuzifanya profile picture na kujitangaza pia kwenye mitandao hii husaidia kupunguza usaliti hasa kwa wapenz walio mbali (long distance relationship)?