Kupungua kwa matumizi ya bodaboda

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Siku hizi maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kasi ya matumizi ya bodaboda imepungua sana. Wengi wa wakazi ni mwendo wa kwata tuu, mguu pande, mguu sawa, mbele tembea!!! Sijajua ni muamko wa kutembea kwajili ya mazoezi au kubana matumizi?
 
Sikuhizi maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kasi ya matumizi ya bodaboda imepungua sana. Wengi wa wakazi ni mwendo wa kwata tuu, mguu pande, mguu sawa, mbele tembea!!! Sijajua ni muamko wa kutembea kwajili ya mazoezi au kubana matumizi?
A na B yote yanaweza kuwa majibu sahihi. Tozo zinatusasidia tufanye mazoezi ya lazima. Imesaidia sana. Wakati mwingine tunalazimika kubana matumizi kwa lazima.

#Tozo kwa maendeleo ya jamii nzima na kwa mtu binafsi.
 
Watu tumejiwekea target kila siku hatua 10,000
Screenshot_20220905-221206_Samsung Health.jpg
 
Back
Top Bottom