Kupoteza nguvu za kiume kwa mke wa ndoa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupoteza nguvu za kiume kwa mke wa ndoa!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Magu, Oct 17, 2011.

 1. Magu

  Magu Senior Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana JF nawaombeni msaada wenu, kuna rafiki yangu kaja kuomba ushauri kwangu, kiasi sijampa ushauri unaotakiwa mana nimechanganyikiwa na mimi pia. Huyu jamaa yangu anadai kuwa anapotaka kufanya mapenzi na mke wake wa ndoa anapoteza hamu na anashindwa kabisa kutekeleza wajibu huo mhimu ktk ndoa. Lakini baada ya tatizo kuonekana linakuwa kubwa akaamua kujaribu nje ya ndoa kama je pia itashindikana? Kule nje anaweza piga hata 3 hadi 4 kwa siku, ila anapokuja nyumbani mchezo ni ule ule!!! Kinachompa mashaka si kuwa uko nje ana mwanamke wa permanent ambaye anaweza kumhisi kumfanyia mambo ya kinyamwezi 'limbwata' ili kuvuruga ile ndoa ahamie kwake. Anapotaka kupeleka hisia kwa mke kuwa labda ndo anafanya mambo hayo ili asi function pia haiji akilini mana haoni sababu! Je nimshauri nini huyu rafiki yangu? Naombenini msaada ndg zangu
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
  Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
  1.ubugiaji wa tumbaku .
  2.uvutaji wa sigara.
  3.utafunaji wa mirungi.
  4.unywaji wa pombe.
  5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
  6.ugonjwa wa kisukari.
  7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
  8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
  9.kufanya kazi ngumu.

  TIBA YAKE:
  chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.

  Chanzo: Mzizimkavu

  [​IMG]


   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  1. Je wife ni msafi katika sehemu zake zile? Huwa anajiosha vizuri? Yawezekana anakosa hamu na mkewe sababu ya uchafu labda haogi au hajioshi vizuri katika sehemu zake za siri "anabaki na viporo". Kwa kawaida sehemu za siri za mwanamke ni complicated na anatakiwa awe anafanya usafi wa hali ya juu la sivyo mwanamke hunuka, mimi ningependa kwanza atoe maelezo zaidi kuhusiana na hili.

  2. Ajaribu kumuomba mke wake wabadilishe mazingira waende wakafanyie guest au kwenye hoteli nzuri ambayo ana uwezo nayo yawezekana pia mazingira ya nyumbani ameyakinai "huyo mwanaume".
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! ndoa kwishneee! jamani dunia inamambo!!
   
 5. m

  magori81 Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huyo kaka ana matatizo ya kisaikolojia,mind yake imejitune hivyo kwamba anakosa nguvu kwa mkewe.suluhisho ni kuachana na hao vimada kisha mawazo yote ayahamishie kwa mkewe.anatakiwa amfikirie mkewe kama ni mtu pekee anayeweza kumpa raha za dunia hii.nadhani hapo mambo yatakuwa mazuri kabisa wanapokuwa faragha.
   
Loading...