Kupoteza mwelekeo

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
kama uzi unavosomeka, wakubwa kiukweli mdogo wenu napoteza mwelekeo, sinywi pombe, sivuti sigara wala situmii kilevi chochote ila ninavokesha bar, utazani nimeanza ulevi huu ni mwaka wa 10, night clubs zote kali kali nmekesha.

Ila kubwa kuliko ni matumizi mabaya ya fedha, yaani pesa nautumia vibaya haswa, nkiweka laki mfukoni, naanza kuhesabu maumivu, ila nmekuja kugundua tatizo nia wasichana wengi yaani kila mtu analeta shida yake.

Wakuu mwaka huu wa 2020, nasemaje ntakua na mtoto wa kike mmoja tu, tukiachana navuta mwingine, pengine nilikua nafklia kuoa ila sasa wakubwa umri wenyewe miaka kati ya 22-23 mimi ntamuoa wa miaka mingapi na je tutadumu japo uhakika wa chakula upo.

nina matumizi mabaya saba ya ela na mbaya zaidi sina mtu wa kuniambia fanya hivi yaani ni mimi kama mimi, nkaona cha kufanya sasa nitafte demu mwenye akili tusaidiane walau anisogeze mbele kidogo, ndo uyo kidogo afadhali, ameanza kunipa ramani, mungu anibariki ila pepo la kuoa litulie maana najua ntalia kilio cha mbwa.

mwaka huu, mungu ni wetu sote naomba aniweke, naamini malengo yangu yatatimia na panapo majaliwa nkija kufikisha 30. basi ntakua mbali sana endapo nkipata msichana mwenye akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahisi ukipata mwanamke ndio utasonga mbele amini amini nakwambia hutosonga mbele.


Tulia kama umeweza kufahamu weakness basi fanya maamuzi mengine sahihi.

I see, you afraid because it means that you are not stupid!
 
Wee endelea tu kutapanya usiwe na wasiwasi. Siku njaa ikibisha hodi utajifunza kwa vitendo, na huenda ukawa umeshachelewa.
 
Bado upo kwenye foolish age dogo, kama umeshindwa kujiongoza mwenyewe hakuna utachoambiwa ukakielewa humu, mabadiliko ya kweli huja kwa muhusika kuamua kwa moyo wake mwenyewe, endelea kukesha bar.
Kula bataaaa!
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…