tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Wakuu mdogo wangu amepoteza result slip yake na tunategemea atakwenda chuo na kule itatakiwa, nauliza kuna utaratibu gani wa kupata nyengine. Dogo alisoma Bukoba na sisi tupo Zanzibar kwa saa hivi?
wakuu mdogo wng amepoteza result slip yake na tunategemea atakwenda chuo na kule itatakiwa..nauliza kuna utaratibu gani wa kupata nyengine..dogo alisoma bukoba na sisi tupo znz kwa saiv
hatua ya kwanza aende shuleni alipohitimu akawataarifu,ni matumaini yangu watamsaidia.
aende Baraza la Mitihani. watampatia nyingine, ila atatozwa pesa kidogo
Baraza hawawez kumpatia,mpaka awe na kibali kutoka shule,au kielelezo chochote kitakacho thibitisha kuwa yeye ni mhitimu wa shule hiyo!
dogo anayo living certificate na kitambulisho..havitasaidia..jaman bukoba mbali hio gharama bora hata nihonge ilimradi nipate nyengine
usituzingue bwana, kumbe unaomba ushauri wakati umeshafanya maamuzi
dogo anayo living certificate na kitambulisho..havitasaidia..jaman bukoba mbali hio gharama bora hata nihonge ilimradi nipate nyengine
AMepataje living certificate pasi na kusubmit ID?