loupa Senior Member Joined Jul 22, 2016 Posts 124 Reaction score 78 Nov 27, 2022 #1 Habari zenu ndugu zangu Mimi ni wakala wa e- money (airtelmoney, m-pesa) Hii kazi tangu niianze Leo ni siku ya tano tu *Sasa Jana numekutana na kitu kimenikosesha usingizi kabisa. *Katika kubalance hesabu cash+flot nimegundua kiasi cha sh.80,000/kimepotea. Baada ya kuwashirikisha baadhi ya watu wakasema ni CHUMAULETE Sasa Naomba mwenye uelewa na hili Je hii CHUMAULETE IKOJE? Click to expand... Inafanyaje kazi? Nifanye nini kujilinda na tatizo hili? Click to expand... Natanguliza shukrani kwa maoni yenu Ahsanteni
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni wakala wa e- money (airtelmoney, m-pesa) Hii kazi tangu niianze Leo ni siku ya tano tu *Sasa Jana numekutana na kitu kimenikosesha usingizi kabisa. *Katika kubalance hesabu cash+flot nimegundua kiasi cha sh.80,000/kimepotea. Baada ya kuwashirikisha baadhi ya watu wakasema ni CHUMAULETE Sasa Naomba mwenye uelewa na hili Je hii CHUMAULETE IKOJE? Click to expand... Inafanyaje kazi? Nifanye nini kujilinda na tatizo hili? Click to expand... Natanguliza shukrani kwa maoni yenu Ahsanteni
Jocasta JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 475 Reaction score 600 Nov 27, 2022 #2 Acha ujinga,tafuta pesa!!! China ulete ipo kwa Maskini tu
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,874 Reaction score 4,161 Nov 27, 2022 #3 Chitola