Kiranga aje na fix zake za technologia na sayansi ilivyosonga Mbele kiasi cha radar, gis sijui GPS sijui na nini vingine plus settelite kushindwa kuona commercial jet liner ? Mungu yupo na siri zake zimefunuliwa kwa wachache huku atheist wakibaki kujidanganya na technologia ambayo imeshondwa kuona Boeing 777-200. Kiranga anza kumwaga kariri zako tuone ulivyo mtupu kufikiri ukiendelea jidanganya kwamba techn na sayansi vinajua mambo mengi wakati vonayajua machavhe na Hayo machache viyajuayo vinajua kiduchu tu. Hakuna radar, setelite wala nini katika dunia yote Hata ya mungu wenu amerika iliyoweza kuona commercial jetliner angani...
Kupotea kwa ndege ndiyo kuna prove kwamba mungu yupo?
Kama mungu yupo, ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini aumbe ulimwengu ambao dege linaweza kupotea kwa wiki nzima na kuweka watu roho juu?
Ni kwa sababu hakuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu bora zaidi?
Au alikuwa na uwezo lakini hakujali tu?
Una bash science wakati hapohapo unatumia internet?
What kind of ignoramus are you?
Umejitahidi kutoshusha kariri nyingine zaidi ya nilizozoea Kuziona. Mungu kaumba pasipo makosa ni ninyi mnaotumia ulimwengu alioumba kwa kutumia parameter zenu na kujipa kiburi cha ujuzi ambao hamnao" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" kukosa maarifa kwa binadam wayaka Mungu atwishwe lawama ? Ukijinasibu na ujuzi ulipofikia sikutegemea kwamba ujuzi wenu na tambo zenu zishindwe kuona object kama commercial jetliner angani huku mkivumbua nyota na sayari mbali kabisa na anga litumiwalo na jets... Kutumia internet hakuondoi ukuu na uumbaji wa Mungu wa hakuniletei haki ya kuhoji matendo yake makuu na ya ajabu.
Ukibeza kuwepo kwa Mungu unJificha nyuma ya sayansi japo kubeza uwepo wa Mungu ni imani tu, huku ukipnyesha kwamba sayansi imewezesha wanadam kuona sayari zibgine zilizo mamilioni ya kilometer toka dunia huku ikishindwa kuona jetliner iliyo kilometer 40 ? Mbwembwe zisizo na mashiko ndizo nazipinga. Kusoma mungu hayupo ni imani na sio ujuzi wala sayansi, unaizingixia sayansi ili ufiche udhaifu wako wa kutafakari...

Hujajibu maswali.
Nani kasema sayansi ina majibu yote?
Na nani anaamua kipi ni kigumu kuona kati ya sayari iliyo light years away na ndege iliyopo duniani?
Unataka kujibu maswali magumu kwa majibu ya simpletons?
Kilichokufikisha kwenye Imani yako ya "hauna Mungu" ni imani yako ya kuiweka sayansi kwenye taswira ipnekana kwamba ina majibu mengi kiasi cha kumfanya Mungu muumba wa hata muziitazo kanuni za kisayansi aonekane hana maana. Ni mfano mdogo sana wa jetliner la Malaysia kukwepa technologia yenye GPS na radar kibao na kupotea bila kuonwa angani ! Au angani kuna milima kiasi kwamba technologia ya wamarekani kulinda anga ilizibwa isiione jetliner ?
Carl Sagan once said extraordinary claims must be backed by extraordinary evidence.
And how do you think about such evedence? The way I figure it out, it should be something which may or may not be rooted under empericism, but then I note that there is always a problem with you because you do not accept this. You always ignore the fact that not everything true and logical/illogical should be rooted under empericism. There are actually non emperical evidences, whether logical or illogical, that are always true and I guess these are the ones which this friend is referring to them as extraodinary evidences. I like his line of thinking!
Non-empirical evidence such as?
Ndege ilikuwa monitored kweli na ilikuwa inaonekana kwenye radar, kuna reasons wanazozitoa:
1. inawezekana ndege ilipiga short na kuharibu communication systems
2. inawezekana Pilot au wale suspected magaidi walizima vifaa vyote vya mawasiliano (kwa nini?)
3. Ndege kupotea kwenye Radar kunategemea na altitude inayoruka, kuna altitude ambayo radar haiwezi kupick chochote, Kumbuka kile kipindi cha WaIsrael walipokuwa wanaenda kuwakomboa wenzao pale Entebbe, ndege zilikuwa zinasafiri along the Nile River na zilikuwa ziko kwenye very low altitude kiasi ambacho hata Rubani aliyekuwa anaongoza alikuwa hawezi kuwaona wenzie (ndege zilizokuwa kwenye mission moja) na walifanya vile ili kuepuka kuonekana kwenye Radar na kweli walifanikiwa kutoonekana
Sasa kama ndege ilikuwa kwenye altitude ya chini sana na haikuwa picked na Radar inawezekana labda imeenda kuangukia mbali sana nje ya hiyo zone wanayoangalia sasa
4 ET?
Mkuu tuache masiara! Ivi ni kweli imethibitika uwepo wa hivyo vinyamburiro?
Watu wanapoteza simu wanalia wakati kuna washkaji wamepoteza ndege hadi sasa haijaonekana.
Prophecies made and they came to be (latter)