kupotea kwa mwandishi wa Gazeti la mwananchi, tumeenza kumsahau Kama Ben saa nane

wanaojulikana

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
576
901
Inasikitisha Sana tena Sana tumeenza kumsahau ndugu yetu mwandishi aliyepotea, tusifanye makosa Kama tulivyofanya kwa kina Ben saa nane tukajipa matumaini atarudi bila kupaza sauti kwa pamoja.

Ndugu zangu waandishi umoja wenu una Matata kabisa jambo hili si la kawaida lakini mmegawanyika Kama hamna umoja acheni hizo Leo atapotea wa nipashe kesho wa habari Leo ndiyo akili zitawakaa sawa.

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
UNAWAZUNGUMZIA WAANDISHI WALE WALIOKULA KIAPO KUTORIPOTI HABARI ZA BASHITE???WAANDISHI NYIE NI WANAFKI MNO NA MNACHAGUA UPANDE WAZIWAZI.


KAFIENI MBELE
 
Back
Top Bottom