Kuporomoka kwa upinzani Tanzania

Ushindi mkubwa wa Mh Rais John Pombe Magufuli katika nyanja zote za kisiasa,kiuchumi na kijamii kumezidi kuugaragaza Upinzani wa Tanzania hata wasijue nini tena cha kwenda kufanya mbele ya Wananchi baada Rais John Pombe Magufuli kutekeleza kwa vitendo Yale yoote aliyoyaahidi na kwenda mbele zaidi kufanya makubwa Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania hata wananchi wa Taifa la Tanzania wakistaajabu kwani wamemuona mkombozi wao waliomsubiri Kwa muda mrefu huku wakiona dalili zake kuwa yuaja na hakika sasa wamemuona mkombozi wao.

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,imeendelea kutia mguu na mkono katika kila jambo lililokuwa Kero Kwa Wananchi na kulitatua kila tatizo na changamoto Kwa kiingereza wakisema iki "stamp its foot in National matters to serve as a proof of a now widely accepted view that the Opposition has become weaker" hii Ni sawa na kuona kimbunga cha utendaji kazi wa Chama Cha Mapinduzi kikiongozwa na Rais Magufuli na Upinzani ukionekana kusinzia mchana wa jua kali katikati ya kimbunga cha utendaji Kazi wa JPM,hii imeendelea kuwafagia Wapinzani uchwara wengi wao wakiishi Kwa kutegemea mapungufu na madhaifu ya CCM,Sasa imekula kwao kwani CCM imekuja kivingine na kuhacha na mfumo ule uliendanao decade after decade miaka na miaka na Sasa CCM inacheza kama Buyern Munich ama Barcelona na muda wowote ikiweza kugeuka na kucheza Kama Real Madrid ikiwa na Kocha bora kabisa na wachezaji ghali na bora zaidi wakiwa na kila aina ya skills ujuzi na energy mpya kabisa kuweza kulitoa Taifa toka hapa upinzani uliposinzia na kulipeleka Taifa mbele kwenye Uchumi wa kati,uchumi wa Viwanda na Biashara.

ACT ilihachwa njia panda pale Mshauri wake Mkuu alipokubali utendaji kazi wa Rais Magufuli na kukubali offer ya kuwa mtendaji wa Serikali katika Wizara mojawapo,Shock nyingine ikaja pale Mwenyekiti wa ACT alipokubali utendaji Kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kukubali uteuzi muhimu sana kuwa Mkuu wa Mkoa wa sehemu fulani.Huyu alikuwa mgombea Mpinzani wa Urais wa Dr John Magufuli.Tukiwa huko huko upinzani Mshauri wa kisheria akadakwa kwenye Kamera akijikosea adabu kinyume na Utamaduni wa Mtanzania akitomasana na msanii wa Video.Hapa naweza kufikiri hiki chama kimeamua kufanya mambo yake maana waliyokuwa wanapigania kuyafanya Tayari Mh Rais Magufuli anayatenda Kwa kiwango bora cha 120%.

Mgogoro wa CUF hautakihacha Chama iko salama,tumeona msuguano mkubwa lakini Nichukue nafasi hii kumpongeza Profesa Kwa kutaka CUF iendelee kuwa Chama Cha Upinzani na kuepusha kutawaliwa na Mbowe ikiwa CUF Ni Chama imara na kimeonyesha uimara toka Uchaguzi wa Mwaka 1995,2000,2005 na 2010 Ila ndoa Yao na Chadema Kama ilivyotiliwa Shaka na Wahenga hakika haitaihacha CUF salama labda watoke kwenye ndoa hiyo.

Kifo cha CHADEMA kilichojinasibu kama Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania kimeanza kuonekana wazi hasa kwa wao wenyewe kuanza kuota kuporomoka na kutoweka Kwa CHADEMA Kwa sababu nyingi na hivyo kuanza kukihama Chama iko cha CHADEMA na kuanza kurudi Chama Cha Mapinduzi ,CCM ,Chama imara na kigumu kutoka Madarakani.Kuporomoka na kutoweka Kwa Chama Cha CHADEMA kunatokana na Sababu Mbalimbali kwanza,Kuondoka na kuyeyuka Kwa agenda zao zenye mashiko Kama Ajenda ya Ufisadi,Usawa jinsia katika uteuzi wao wa Wabunge wa Viti Maalum,Ajenda Yao ya Uadilifu na Uzalendo Kwa Taifa la Tanzania,Ajenda Yao Kuwatumikia Wananchi wa Tanzania na kukemea vitendo vyote vibaya katika Serikali,Kama Wizi wa Mali ya Umma na Ubadhilifu uliokithiri na Utendaji Kazi uliotukuka,huku Chama Cha Mapinduzi kikichukua hoja hizo kutoka katika matatizo ya Wananchi na kutatatua bila kupoteza muda na kuonekana Sasa zile hoja moto moto za CHADEMA zikitendwa Kazi Balabalaa na Chama Cha Mapinduzi,hivyo CCM kuonekana ndiye Mkombozi mpya wa Wananchi wa Tanzania.

Wimbi la Viongozi wa CHADEMA kushikwa na kupelekwa polisi Kwa lugha za kukejeli Mh Rais na jitihada zake za maendeleo Ni ishara nyingine kuwa Sasa hawana tens hoja na hoja Yao kubwa hivi Sasa Ni "KUKEJELI" na "KUPINGA" huku wengi wao wakitoa lugha za uchochezi na kuishia kwenye mikono ya Sheria.Kiongozi wao hakisikika kwenye Audio iliyorekodiwa kwenye maongezi ya simu akisema "Wema can you fly to Kia" naamini Nchi inakwenda vizuri na upinzani umeamua kula "Good time" ndani ya Geneva ya Afrika,mjini Arusha.

Kila kitu kina athari zake,Newton alisema "for every action,there is an equal or opposite reaction" na Wahenga walisema "Pale Mwiba ulipoingilia ndipo hapo hapo Mwiba unapaswa kutokea" Haya yanajiri Sasa huko Arusha Kwa viongozi wa CHADEMA ,Wenyeviti na Madiwani wakijiuzulu Nyadhifa zao na kujivua uanachama na kurudi Chama Cha Mapinduzi ,CCM na Misungwi,Mwanza nimesikia Viongozi 84 wakifunga ofisi na kujivua Nyadhifa zao na kurudi Chama Cha Mapinduzi,CCM.
Ha ha ha huu ndio Mwisho Mzuri wa CHADEMA,Huu ndio mwisho mzuri wa Upinzani,sterling akibaki amesimama,The last Man Standing,The Hero JPM akiwagaragaza vibaya Wapinzani na kila mmoja kutokea alipoingilia,.Ashukuriwe Mwenyezi Mungu aliyetuletea Rais Magufuli ili Tanzania iweze kutembea kwenye Hatma yake Kama Mungu alivyolikusudia Taifa la Tanzania kuwa Taifa Kubwa litakalosaidia Mataifa Madogo,Nauona Upepo wa Arumeru ukivumia kuelekea Dar Es Salaam,nauona kabisa Unakaribia Kibamba na Kimara wakikiona Kimbunga,Asili ya Chama Cha Mapinduzi Ni Dar Es Salaam naamini wapinzani waliopo Dar Es Salaam wote walighadhibika tu wameiona Sasa Nia ya Dhati ya Mh Rais John Pombe Magufuli na Sasa wameamua kurudi CCM,Chama Kigumu kutoka Madarakani.
Viva MAGUFULI

We jamaa umeandika kama unakimbizwa na nguchiro. Tuliza akili kwanza.
 
Kuna maandiko mengine yanatia kichefuchefu na kinyaa sana.moja wapo ni hili

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kuwa ccm mnafanya usajili wa kununua viongoz wa upinzani, mnaweka visasi na kuwakomoa wapinzan kwa kuwatafutia kesi za kipuuz , kujenga bifu na wapinzan au kutumia ubavu wa kupoteza upinzan haiwez kuondoa shida na umasikini wa watanzania

Na wananchi wenye akili wanajua ccm ndiyo kikwazo cha maendeleo ya taifa hili angalia miswada na mikataba yote ya ufisadi imeingia kipind cha ccm ns hata mh Raisi magufuli naye kashindwa kuweka mkazo kwenye mraba wa unufaikaji wa madini yaani bila aibu unataka tuwapongeza kwa kuongeza asilimia 2 % kutoka 4% had 6% ya sasa hiv huku wao wazungu wakichukua 94% ya utajiri wetu ( nchi Kama Botswana na south Africa wenzetu wanachukua kiwango kikubwa kama sijakosea ni 50% ) hao wapinzan mnao hangaika nao ndiyo wale ambao wali ibua madudu mengi ya uwizi wenu na hatimaye Leo ccm mnakubali kulamba matapishi ya uchafu wenu wa kuliibia taifa hili , juzi juzi sheria yenu ya madini mmepitisha inasema haiwez kugusa makampuni ya madini ys zamani na bila aibu mmekataa mapendekezo ya wapinzan ili kutengeneza sheria nzuri zenye manufaa kwa taifa hili na kizaz kinachokuja , ccm matendo mnayofanya muda wenu unakaribia kuisha

Nchi ambayo mh Raisi ameahid mapinduz ya viwanda lakin hadi sasa hiv hatuoni mkakati wowote ule kuleta mapinduz ,yaan umekuwa ni utawala wa visasi na kutesana tu

Afu kuna jambo moja ambalo ama ccm wanajua au hawajui ni hiv ccm mmepoteza ushawishi kwa kiwango kikubwa sana sasa kwenye kundi la vijana hasa wenye umri wa kuanzia miaka 35 hadi 18 hapa katikat kuna kundi kubwa sana ambalo Nina imani linazid kuongezeka mwaka hadi mwaka na kwa mambo mnayofanya hakika roho ya visas itakuja kuwala ndani ya kundi hilo kuna vijana wengi wamelishwa ,kuna walio kosa mikopo, kuna kundi la machinga humo ambao mmegeuka ni maadui wenu, kuna vijana wa boda boda ambao wanaonewa kila siku na kuna vijana ambao hawana ajira na wala hawez kukopesheka kwenye mabank ,ndiyo wamekuwa hawanga wa kunyanyswa na kudharauliwa na hata na hao wawekezaji huko migodin, ndiyo kuna kundi ambalo lina wachimbaji wadogo wadogo migodin pia lakin ndiyo kundi ambalo kwa sasa ni kizaz kipya ambao wana utambuzi na uelewa wa haki zao na ndiyo watakao kuja kuwatoa madarakani tena si ajabu mkaja kutolewa madarakan bila hata hamasa ya chama cha upinzani , kumbuken yaliyotoa kenya baada ya vijana wengi kuwa na uelewa Mkubwa na ile nidhamu ya uoga kuondoka KANU ilitolewa madarakani

Afu kwa kumbusha tu naona ccm mnalingia vyombo vya ulinzi , mnasahau hao jeshi na usalama wa Taifa wameapa kulinda Tanzania na sio ccm Kama mnavyozania nyie , sasa siku kikinuka nazan ndiyo mtashangaa watakapo waambia kaeni pembeni ili Taifa libakie salama

Uonevu ukizidi sana ,njia pekee ya kuondoa uonevu huo huwaga ni kujibu kupinga uonevu huo ,afu uzuri wake sasa hiv ccm sio wamoja kama zamani wenye majeraha na maumivu ya kunyanyaswa na kudhalilishwa huko ni wengi sana , hii sumu mnayopanda very soon mtavuna ,

Hebu tusubiri mwisho wa hili tuone
 
Bado kuna shida.. Katiba.. Magufuli anawalinda maraisi wastaafu. Hana ujanja hapo kakwama

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Onyesha Bunge live, Acha vyama vya upinzani vifanye siasa, Acha vyombo vya habari..
Utaona na ndipo ufanye hiyo assessment upya !!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ushindi mkubwa wa Mh Rais John Pombe Magufuli katika nyanja zote za kisiasa,kiuchumi na kijamii kumezidi kuugaragaza Upinzani wa Tanzania hata wasijue nini tena cha kwenda kufanya mbele ya Wananchi baada Rais John Pombe Magufuli kutekeleza kwa vitendo Yale yoote aliyoyaahidi na kwenda mbele zaidi kufanya makubwa Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania hata wananchi wa Taifa la Tanzania wakistaajabu kwani wamemuona mkombozi wao waliomsubiri Kwa muda mrefu huku wakiona dalili zake kuwa yuaja na hakika sasa wamemuona mkombozi wao.

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,imeendelea kutia mguu na mkono katika kila jambo lililokuwa Kero Kwa Wananchi na kulitatua kila tatizo na changamoto Kwa kiingereza wakisema iki "stamp its foot in National matters to serve as a proof of a now widely accepted view that the Opposition has become weaker" hii Ni sawa na kuona kimbunga cha utendaji kazi wa Chama Cha Mapinduzi kikiongozwa na Rais Magufuli na Upinzani ukionekana kusinzia mchana wa jua kali katikati ya kimbunga cha utendaji Kazi wa JPM,hii imeendelea kuwafagia Wapinzani uchwara wengi wao wakiishi Kwa kutegemea mapungufu na madhaifu ya CCM,Sasa imekula kwao kwani CCM imekuja kivingine na kuhacha na mfumo ule uliendanao decade after decade miaka na miaka na Sasa CCM inacheza kama Buyern Munich ama Barcelona na muda wowote ikiweza kugeuka na kucheza Kama Real Madrid ikiwa na Kocha bora kabisa na wachezaji ghali na bora zaidi wakiwa na kila aina ya skills ujuzi na energy mpya kabisa kuweza kulitoa Taifa toka hapa upinzani uliposinzia na kulipeleka Taifa mbele kwenye Uchumi wa kati,uchumi wa Viwanda na Biashara.

ACT ilihachwa njia panda pale Mshauri wake Mkuu alipokubali utendaji kazi wa Rais Magufuli na kukubali offer ya kuwa mtendaji wa Serikali katika Wizara mojawapo,Shock nyingine ikaja pale Mwenyekiti wa ACT alipokubali utendaji Kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kukubali uteuzi muhimu sana kuwa Mkuu wa Mkoa wa sehemu fulani.Huyu alikuwa mgombea Mpinzani wa Urais wa Dr John Magufuli.Tukiwa huko huko upinzani Mshauri wa kisheria akadakwa kwenye Kamera akijikosea adabu kinyume na Utamaduni wa Mtanzania akitomasana na msanii wa Video.Hapa naweza kufikiri hiki chama kimeamua kufanya mambo yake maana waliyokuwa wanapigania kuyafanya Tayari Mh Rais Magufuli anayatenda Kwa kiwango bora cha 120%.

Mgogoro wa CUF hautakihacha Chama iko salama,tumeona msuguano mkubwa lakini Nichukue nafasi hii kumpongeza Profesa Kwa kutaka CUF iendelee kuwa Chama Cha Upinzani na kuepusha kutawaliwa na Mbowe ikiwa CUF Ni Chama imara na kimeonyesha uimara toka Uchaguzi wa Mwaka 1995,2000,2005 na 2010 Ila ndoa Yao na Chadema Kama ilivyotiliwa Shaka na Wahenga hakika haitaihacha CUF salama labda watoke kwenye ndoa hiyo.

Kifo cha CHADEMA kilichojinasibu kama Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania kimeanza kuonekana wazi hasa kwa wao wenyewe kuanza kuota kuporomoka na kutoweka Kwa CHADEMA Kwa sababu nyingi na hivyo kuanza kukihama Chama iko cha CHADEMA na kuanza kurudi Chama Cha Mapinduzi ,CCM ,Chama imara na kigumu kutoka Madarakani.Kuporomoka na kutoweka Kwa Chama Cha CHADEMA kunatokana na Sababu Mbalimbali kwanza,Kuondoka na kuyeyuka Kwa agenda zao zenye mashiko Kama Ajenda ya Ufisadi,Usawa jinsia katika uteuzi wao wa Wabunge wa Viti Maalum,Ajenda Yao ya Uadilifu na Uzalendo Kwa Taifa la Tanzania,Ajenda Yao Kuwatumikia Wananchi wa Tanzania na kukemea vitendo vyote vibaya katika Serikali,Kama Wizi wa Mali ya Umma na Ubadhilifu uliokithiri na Utendaji Kazi uliotukuka,huku Chama Cha Mapinduzi kikichukua hoja hizo kutoka katika matatizo ya Wananchi na kutatatua bila kupoteza muda na kuonekana Sasa zile hoja moto moto za CHADEMA zikitendwa Kazi Balabalaa na Chama Cha Mapinduzi,hivyo CCM kuonekana ndiye Mkombozi mpya wa Wananchi wa Tanzania.

Wimbi la Viongozi wa CHADEMA kushikwa na kupelekwa polisi Kwa lugha za kukejeli Mh Rais na jitihada zake za maendeleo Ni ishara nyingine kuwa Sasa hawana tens hoja na hoja Yao kubwa hivi Sasa Ni "KUKEJELI" na "KUPINGA" huku wengi wao wakitoa lugha za uchochezi na kuishia kwenye mikono ya Sheria.Kiongozi wao hakisikika kwenye Audio iliyorekodiwa kwenye maongezi ya simu akisema "Wema can you fly to Kia" naamini Nchi inakwenda vizuri na upinzani umeamua kula "Good time" ndani ya Geneva ya Afrika,mjini Arusha.

Kila kitu kina athari zake,Newton alisema "for every action,there is an equal or opposite reaction" na Wahenga walisema "Pale Mwiba ulipoingilia ndipo hapo hapo Mwiba unapaswa kutokea" Haya yanajiri Sasa huko Arusha Kwa viongozi wa CHADEMA ,Wenyeviti na Madiwani wakijiuzulu Nyadhifa zao na kujivua uanachama na kurudi Chama Cha Mapinduzi ,CCM na Misungwi,Mwanza nimesikia Viongozi 84 wakifunga ofisi na kujivua Nyadhifa zao na kurudi Chama Cha Mapinduzi,CCM.
Ha ha ha huu ndio Mwisho Mzuri wa CHADEMA,Huu ndio mwisho mzuri wa Upinzani,sterling akibaki amesimama,The last Man Standing,The Hero JPM akiwagaragaza vibaya Wapinzani na kila mmoja kutokea alipoingilia,.Ashukuriwe Mwenyezi Mungu aliyetuletea Rais Magufuli ili Tanzania iweze kutembea kwenye Hatma yake Kama Mungu alivyolikusudia Taifa la Tanzania kuwa Taifa Kubwa litakalosaidia Mataifa Madogo,Nauona Upepo wa Arumeru ukivumia kuelekea Dar Es Salaam,nauona kabisa Unakaribia Kibamba na Kimara wakikiona Kimbunga,Asili ya Chama Cha Mapinduzi Ni Dar Es Salaam naamini wapinzani waliopo Dar Es Salaam wote walighadhibika tu wameiona Sasa Nia ya Dhati ya Mh Rais John Pombe Magufuli na Sasa wameamua kurudi CCM,Chama Kigumu kutoka Madarakani.
Viva MAGUFULI
Ukiwa na akili finyu kama rais wako hamwezi kujua maana ya upinzani. Kwanza rais wako angejiuliza bila upinzani acngekuwa rais mpaka anaingia kaburini. Hivyo mtu wa kuwashukuru upinzani ni rais wako
 
Unacheza mpira huku wapinzani wako umewafungia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo,unajichenga mwenyewe na kufunga magoli unatoka uanjani unajisifia leo nimemfunga magali kibao.

Akili za Wanachama wa Chama Cha Makinikia zinafanana sana na yule Mfalme Juha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom