Kuporomoka kwa magazeti ya Rostam

hata vijigazeti vya rostam vikifa vyote sawa tu kwani anatusaidia nini watanzania, bora hata mzee mengi anasaidia walemavu.
 
Nyote mliochangia mada hii, pamoja na mtoa mada mwenyewe mnashangaza kweli kweli! Hivi nani aliwaambia kwamba Rostam aliinunua habaro Corporation kwa ajili ya kuongeza mauzo ya magazeti?

Umenena haswa mkuu na ume-hit the nail on the head.
Rostam hakununua magazeti kwa ajili ya biashara ila kueleza umma propaganda zake na za mabulushi wa Tz.
Si uongo kuwa content ya habari za magazeti yake zina ufahamu wa hali ya chini sana kulingana na wasomaji wake.
Msomaji akiona gazeti linaandika,consistently, utumbo/uongo/propaganda za kipuuzi anaamua, kama mimi nilivyo amua kutopoteza pesa zake kusoma utumbo.
Sasa nanunua magazeti yanayo eleza ukweli unaoleweka na nahisi wengi wanafanya hivyo.
 
Ukiitzama post hii ni muendelezo tu wa kuchafuana. Tena ukiitazama kwa makini zaidi unaweza kuona aliyeandika inawezekana ni mwandishi maana flow yake ni ya uandishi wa kitanzania. Habari za kuaminika..... za uhakika.... za ndani..... chanzo chetu...nk. Rostam hawezi kuwa mpinzani wa Mengi katika biashara ya magazeti, Mengi anauza zaidi. Binafsi niliwahi kuyashit hata magazeti ya Mengi kuna kipindi udaku na utumbo ulikuwa mwingi saaana. Maana ni kama kusutana. Atleast wamerekebisha kiasi ingawa bado kuna habari za udaku ila The Guardian halijachafuliwa sn. Ya Rostam ndio sijawahi kununua kabisa. Gazeti la Jambo Letu wameshasema wengi.
Sasa huyu aliyeleta post ni mchonganishi tu hadi wengine wanajikuta mara mburushi nk. Na hili hasa ndio linafanya tatizo liwe tatizo.
Watanzania tumejenga saana ubaguzi. Akiwekeza mhindi, lazima jina litapatikana mara ********* au fisadi papa nk. Wakiwekeza wengine utasikia makaburu tena wakisemwa vibaya. Waarab ndio loh nchi inauzwa sasa. wacanada kwenye migodi wanatuibia na wazungu wabaguzi. Hapo watu wanahitaji kuona sekta binafsi inakuwa lakini ndio hao wanaojiita wenye nchi wamejaa kulalamika, majungu na fitna. Waambie waongoze wenyewe mashirika yanakufa. Sijui mashirika mangapi yamekufa mikononi mwa watanzania.
Ukiondoka kwenye ubaguzi dhidi ya raia wa nje, fika zanzibar huko ndio loh. Bara nako huyu muislam yule mkristo. Unahama kidogo mara TRA na wizara fulani kuna kabila fulani. Ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Mnaosusia Magazeti ya New Habari ni sawa na kusema Matrekta ya KILIMO KWANZA MFUKO LAAKI! Kama Manji na Jeetu wanapigana vikumbo kupta tenda ya kuyaingiza nchini bora nilime na Jembe la mkono.MAFISADI KILA MAHALI LOOH!
 
mwandishi kawegemea zaidi kwenye kupigia debe gazeti lake la jambo leo...lakini kama habari isingeharibiwa kwa namna hiyo basi ingekuwa na ukweli sana......mimi kuna gazeti lilikuwa linanikera sana linaitwa Tazama tanzania(nadhani walijaribu kuigizaigiza TANZANIA DAIMA) BADO SIJAJUA KAMA MMILIKIWAKE NI lostam na makuwadi wengine wa ufisadi....hili ni gazeti la ajabu nililowahi kuliona hapa tanzania kwani walikuwa wanaweka vichwa vya habari vinavyovutia kuhusu kupinga ufisadi lakini basala yake ukisoma unaona tofauti kabisa...niliwahi kununua mara tatu nadhani wamejaza matumbo yao zaidi kwa hivyo vijisenti vyangu......nilifikia hata kumwandukia mail mwandishi mmoja anajulikana kwa jina la mapunda nimwambia hivi.....''NAAMINI MAFISADI WATASHINDWA PAMOJA NA KWAMBA MMENUNULIWA ILI KWA NGUVU ZOTE BILA KUJALI TAALUMA NA UZALENDOKUWATETEA'' bahati nzuri nae alinijibu ila alisisitiza kuwa kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake kwa hiyo akasema kama mimi namuona lostam lowasa....mafisadi hayo ni maoni yangu na kama yeye akiandika vile ni maoni yake...hili ni gazeti au kipeperushi ambacho sijakiona tena.BADO NAENDELEA KUAMINI KUWA MAFISADI WATASHINDWA TU....
 
Jeetu fisadi papa...manji kafisadi kanakochipukia tuwe makini nako maana nako kanakuja kwa moto mkali.....ilam nashangaa wandugu kila mahali kwenye tenda ni walewale tu wenye asili ya kiasia why? kwanini jamani?
Mnaosusia Magazeti ya New Habari ni sawa na kusema Matrekta ya KILIMO KWANZA MFUKO LAAKI! Kama Manji na Jeetu wanapigana vikumbo kupta tenda ya kuyaingiza nchini bora nilime na Jembe la mkono.MAFISADI KILA MAHALI LOOH!
 
ndaga malafyale.....mimi inaniuma sana kwani nimeweza kuwaingizia mafisadi(lostam na wajanja wenzake) TSH.1,200,ila nilipo gundua nikawakacha fasta
Umenena haswa mkuu na ume-hit the nail on the head.
Rostam hakununua magazeti kwa ajili ya biashara ila kueleza umma propaganda zake na za mabulushi wa Tz.
Si uongo kuwa content ya habari za magazeti yake zina ufahamu wa hali ya chini sana kulingana na wasomaji wake.
Msomaji akiona gazeti linaandika,consistently, utumbo/uongo/propaganda za kipuuzi anaamua, kama mimi nilivyo amua kutopoteza pesa zake kusoma utumbo.
Sasa nanunua magazeti yanayo eleza ukweli unaoleweka na nahisi wengi wanafanya hivyo.
 
of course yes...hata kama wakisema mengi anatafuta sifa si bora lakini wananchi wanasaidiwa? hawa akina lostam wanapeleka pesa zao india afu wanajifanya wasukuma.....wanapewa na ubunge..kweli jamani?
hata vijigazeti vya rostam vikifa vyote sawa tu kwani anatusaidia nini watanzania, bora hata mzee mengi anasaidia walemavu.
 
Back
Top Bottom